cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nisemejee.Mbona umeongea kinyonge sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nisemejee.Mbona umeongea kinyonge sana
Siyo wawakilishi wa nchi, Bali Yanga inawakilisha Waafrica wote kasoro Waarabu, kumbuka timu zilizoingia fainali tatu ni za Waarabu na moja ndio ya Waafrica ambao ni Yanga Africa, what a history.🎷🎷Kila la kheri wawakilishi pekee wa nchi kimataifa!
Fainali ni home and away.nilisikia kwenye vyombo cha habari serikali imetoa ndege kupeleka mashabiki kwa ajili ya final nikajua wanacheza nje ya TZ, mimi siomfuatiliaji sana wa Mpira ila nimekua na furaha yanga kutuwakilisha Vizuri Tanzania nimeuliza tu baada ya kusikia habari za kwa mkapa tena fainali kesho
kwa hiyo kuna fainali itachezwa nyumbani kwa usm algerFainali ni home and away.
Ndio maana yake, Yanga wanatakiwa kumalizana na hawa Waarabu kesho kwa Mkapa.kwa hiyo kuna fainali itachezwa nyumbani kwa usm alger
hapo sasa nimeelewa mkuuNdio maana yake, Yanga wanatakiwa kumalizana na hawa Waarabu kesho kwa Mkapa.
Ulaya fainali ni moja kwa sababu mashabiki wa ulaya wanajimudu kiuchumi, wana uwezo wa kusafiri nchi yoyote kuisuport timu yao hivyo fainali ya UEFA ni moja na inachezwa kwenye neutral ground.
CAF waliiga huo mfumo lakini kwa Africa ni ngumu hautekelezeki, na hata ukilazimisha huo mfumo utakuja kukuta fainali INA mashabiki wachache na kupoteza hata maana halisi ya fainali.
Ninakubali mkuu.Siyo wawakilishi wa nchi, Bali Yanga inawakilisha Waafrica wote kasoro Waarabu, kumbuka timu zilizoingia fainali tatu ni za Waarabu na moja ndio ya Waafrica ambao ni Yanga Africa, what a history.🎷🎷
Ndiomaana unajiita kipwinto jina linasadifuKumbe wanachezea Fainali kwa Mkapa? sasa mama Samia alitoa ndege kupeleka mashabiki wapi? Sijaelewa
linasadifu kitu gani?Ndiomaana unajiita kipwinto jina linasadifu
Siyo Namungo kweliUmesahau mkuu, alikuwa kibu d
Atapewa tu na kesho mvua lazima inyesheYule muganga amesema anataka jogoo wa buluuu[emoji1787][emoji1787]
[emoji123] sawa MkuuSiyo wawakilishi wa nchi, Bali Yanga inawakilisha Waafrica wote kasoro Waarabu, kumbuka timu zilizoingia fainali tatu ni za Waarabu na moja ndio ya Waafrica ambao ni Yanga Africa, what a history.[emoji449][emoji449]
Kolo huyo anajitoa ufahamuFainali ni home and away.
[emoji16]Ndiomaana unajiita kipwinto jina linasadifu
Hapana, atakua ihefu.Siyo Namungo kweli
Yanga 3 wao 1Timu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger.
Uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo.
Kila la heri wananchi "why not us!??"
View attachment 2636693
Kwani tickets hua zina andikiwa huyu ni shabiki wa timu flani?"Uwanja wa Benjamin Mkapa unauwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo"
Ina maana mashabiki wa wapinzani wa Yanga,wao hawakupewa hata nafasi ya tiketi moja? Nauliza kwa mujibu wa hiyo paragraph hapo juu.
Haya ni matokeo ya mechi ganiUSM ALGER 2
UTO 0