Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Nchi ngumu sana hii... tickets za Mama Samia nauziwa elfu 15 daaah ...yaaan kweli kufa kufaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Jambo la kitaifa na haujui una dharau sana we dada..😂Kwani huo mpira ni lini
Kila mbusi atakula kwa urefu wa kamba yake..😂Nchi ngumu sana hii... tickets za Mama Samia nauziwa elfu 15 daaah ...yaaan kweli kufa kufaana
Halafu mfungweTimu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger.
Uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo.
Kila la heri wananchi "why not us!??"
View attachment 2636693
Dua la kuku wakishinda mtsema timu dhaifuUSM ALGER 2
UTO 0
Nani kakuuzia huyo mkuuNchi ngumu sana hii... tickets za Mama Samia nauziwa elfu 15 daaah ...yaaan kweli kufa kufaana
Kila la heri kwetuYanga 3 : 0 USM Algiers
Hayo ni matokeo pia katika mpiraHalafu mfungwe
Kuna vijana wapo katika fursa mzeeKila mbusi atakula kwa urefu wa kamba yake..[emoji23]
Kuwa mzalendo wewe.Kama bure kwanini kusijae
Ova
Unaonekana una uwezo mdogo sana wa uelewa,yani umekurupuka kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,hebu soma tena comment yangu niliyomquote mleta mada,Mnajifanyaga wajuaji na hamjui USM Alger walisha tuma ombi la tickets waka orodhesha idadi ya watu wanao kuja nao , unavyo ropoka humu ulitaka Yanga ikutajie majina ya watu na timu zao?
Usibishane na kolo mkuuMnajifanyaga wajuaji na hamjui USM Alger walisha tuma ombi la tickets waka orodhesha idadi ya watu wanao kuja nao , unavyo ropoka humu ulitaka Yanga ikutajie majina ya watu na timu zao?
Kipwinto ni ile nguo inayoingia matakoni mtu akikaa. Wakati anaitoa ndio tunasema katoa kipwinto. Nadhani jibu umepata unganisha doti sasa upate maanaHivi kwa Nini umejiita kipwintoo
AMINAMungu Ibariki Yanga ishinde goli 3:0 dhidi ya Usm Alger
Fainali ya kwanza Tanzania fainali ya pil kwao AlgeriaKumbe wanachezea Fainali kwa Mkapa? sasa mama Samia alitoa ndege kupeleka mashabiki wapi? Sijaelewa
Hakika Kila la heri kwa wanayanga.Mungu Ibariki Yanga ishinde goli 3:0 dhidi ya Usm Alger
[emoji16]Kipwinto ni ile nguo inayoingia matakoni mtu akikaa. Wakati anaitoa ndio tunasema katoa kipwinto. Nadhani jibu umepata unganisha doti sasa upate maana