Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

Timu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger.

Uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo.

Kila la heri wananchi "why not us!??"

View attachment 2636693
Halafu mfungwe
 
Mnajifanyaga wajuaji na hamjui USM Alger walisha tuma ombi la tickets waka orodhesha idadi ya watu wanao kuja nao , unavyo ropoka humu ulitaka Yanga ikutajie majina ya watu na timu zao?
Unaonekana una uwezo mdogo sana wa uelewa,yani umekurupuka kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,hebu soma tena comment yangu niliyomquote mleta mada,

Halafu comment niliyomquote mleta mada ni swali,au hujui maana ya question mark?
 
Back
Top Bottom