Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mpe moyo kwamba kuna ku_hustleAmeamua kuaingia kitaa, atafanikiwa. Mi mwenyewe natafuta ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mpe moyo kwamba kuna ku_hustleAmeamua kuaingia kitaa, atafanikiwa. Mi mwenyewe natafuta ajira
Ipo kazi lakini vyeti vinahitajika.yeah hata kazi za wasio na vyeti nafanya
Hafai huyu jamaa, eti anatafuta kibarua sasa alichana vyeti kwasababu gani? Nilidhani anaplan kujiajiri[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mpe moyo kwamba kuna ku_hustle
ndio nimejiajiri ila kwenye kibarua nilichojiri napata buku mbili kwa sikuHafai huyu jamaa, eti anatafuta kibarua sasa alichana vyeti kwasababu gani? Nilidhani anaplan kujiajiri
mkuu sorry sio kuwa sijawahi kuajiriwa, ila I hate my profession so nilikuwa na carrier crisisIpo kazi lakini vyeti vinahitajika.
sawa mkuuKila mtu ni insane, tunapishana tu kwenye degree of insanity
vilinifanya nivione kama option bUngeviweka tu km kumbukumbu usingepungukiwa kitu
Ipo siku utavikumbukavilinifanya nivione kama option b
Sasa tatizo likwapi?ndio nimejiajiri ila kwenye kibarua nilichojiri napata buku mbili kwa siku
safi sana mkuu umenisaidia sana kuelezea MUNGU akubariki. Watu hawaelewi nachoongelea wanadhani nataniaWengi naona hawajmuelewa mleta mada, katika maisha kuna kitu kinaitwa "comfort zone" hii ni sehemu ambayo kuna maimuvu tena makubwa tu, ila kwasababu umepazoea unaona bora tu ukae hapo maana unaogopa kutoka hapo ukiamini huko unapokwenda "panaweza" kuwa pagumu zaidi ya hapo ulipo....niende moja kwa moja kwa mleta mada, mfano anapata kibarua cha kulisha nguruwe kwenye shamba la mtu, akiwa hapo anafanya kazi basi tu ili mradi siku iishe kwa kuamini kuwa ana akiba yake ya vyeti na laiti asingekuwa na hayo makaratasi anagukwa anapiga kazi kwa bidii maana hana tegemeo jingine na kumbe bidii yake ingemfanya akapandishwa mshahara au hata akajifunza kufika na kuanzisha mradi wake!
Sipo " comfort zone" nyingi katika maisha, kwa wengine ni kusubiri urithi, nyumba ya baba, nk. Niliwahi kusikia kisa cha wanajeshi wa Napoleon eti ilikuwa wakivamia himaya flani wanachoma mitumbwi yao waliyisafiria kufika hapo ili wapigane wakijua hakuna namna ya kurudia nyumbani....njia ya kurudia nyumbani ni kuwashinda maadui wao na kuwanyanganya mitumbwi ya kuwarudisha nyumbani.
Huku usukumani huwa kuna imani kuwa mtu hawezi kutajirika akiwa Kijiji kwao...(ukweli ukiwa kwenu huwezi kufanya kazi zisizo na heshima) Hongera Sana mkuu kwa kuchoma "comfort zone" yako naamini hapo utafanya kazi kwa nguvu moja bila kutazama kabatini kwenye vyeti!
Haya mkuu pambana endelea kujiajirimkuu sorry sio kuwa sijawahi kuajiriwa, ila I hate my profession so nilikuwa na carrier crisis
hamna tatizo mkuuSasa tatizo likwapi?
pamojaHaya mkuu pambana endelea kujiajiri
nikimpa ndo ananisumbua na ajira so nishavichanaVyeti usichane weka tu huko au mpe mama aweke kuna mwaka utavitumia.
Mkuu chamaclotus una ujuzi gani, nina kazi kwako ila nataka uthibitisho wa vyeti vyako. Yaani uje kwenye interview na vyeti vyako bila hivyo usije.Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.