Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

Hatimaye leo nimejiridhisha tatizo la Simba ni Viongozi

Mimi naunga mkono yale maneno ya Ali Kamwe ya kutaka hao viongozi wapelekwe Jangwani kwa bakora ili wakajifunze namna bora ya kuongoza klabu yao.
 
Sio waende hapo karibu Jangwani ili wasitumie gharama kubwa. TP Mazembe wameonesha njia wengine wafuate. Mfichaficha maradhi kifo humfichua.
Wamezoa kuahirisha kufikiri, (suspending individual reasoning), siku hizi mnasema kujizima data, zamani tulisema kujitoa ufahamu
 
Naunga mkono hoja shida ya Simba ni viongozi. Ukiona kwenye kwenye taasisi yoyote iwe kwenye siasa, makazini, kanisani, msikitini na sasa kwenye mpira kiongozi anategemea chawa ili aendelee kuongoza badala ya kutimiza anayotakiwa kutimiza basi jua hapo hamna kiongozi na ataondoka kwa aibu kubwa.. Ukitegemea chawa ili uendelee kuongoza uongozi wako ni wa muda mfupi tu lakini ukitimiza yanayohitjika kutimizwa katu kiongozi wala hatumii nguvu nyingi kukubalika na ataoongoza hiyo taasisi kwa muda mrefu na hata ikifika wakati wa kuondoka ataaondoka kwa heshima kubwa.
 
Naunga mkono hoja shida ya Simba ni viongozi. Ukiona kwenye kwenye taasisi yoyote iwe kwenye siasa, makazini, kanisani, msikitini na sasa kwenye mpira kion gozi anategemea chawa ili aendelee kuongoza badala ya kutimiza anayotakiwa kutimiza basi jua hapo hamna kiongozi na ataondoka kwa aibu kubwa.. Ukitegemea chawa ili uendelee kuongoza uongozi wako ni wa muda mfupi tu lakini ukitizima yanayohitjika kutimizwa katu kiongozi wala hatumii nguvu nyingi kukubalika na atao0ngoza hiyo taasisi kwa muda mrefu na hata ikifika ataaondoka kwa heshima kubwa.
Chawa eti ndiye wa kukuvunjia barafu, (breaking the ice) ,kukufungulia njia ama kukusafishia njia duu hapo kazima ufeli
 
Game ya kmc na Singida ilikuwa nzuri kuliko kile kikao chao na sauti ilikuwa kama wanaongelea kwenye ndoo
Halafu watu wajifunze kuandika points za kuongea sio unaongea Kila linalokuja kichwani ili uitwe genius
 
Kwani mbumbumbu maana ake nini?

Mwamba huyu hapa akitoa tamko kuhusu manyani na ma mbwa

1715931192042.png
 
Wote pale ni njaa tupu ndio maana hatuendi mahali, almost wote hawana kazi za kueleweka ndio maana wanaendekeza njaa zao na kufanya usajili wa hovyo na kula fedha !
 
Sasa mtu kama try again ukimuangalia tu machon unajua kichwan kuna jambo
 
Leo Simba Wana tukio (event) pale Dodoma mgeni rasmi akiwa Naibu Spika Zungu.

Kinachonifanya niseme chanzo cha matatizo ya Simba ni Viongozi ni pale Mjumbe mmoja wa Bodi aliyepewa nafasi WA kuongea Kwa niaba ya Bodi na kumkaribisha mgeni rasmi, anapomwambia mgeni rasmi kwamba matokeo mabaya ya Simba si kama yanavyosemwa na mashabiki kuwa Wachezaji waluosajiliwa na Simba hawana viwango vizuri Bali ni uendeshaji mbaya wa ligi na amewataka eti waahiriki wengine wa ligi waache figisu ili kuweka fair competition.

Hivi kweli uongozi wa Simba unataka wanachama na Mashabiki wa Simba watembee kifuq mbele kwamba timu ni nzuri Ila imefanyiwa figisu na Waamuzi, Bodi ya Ligi au TFF Kwa ushawishi wa timu Fulani?

Huku ni kukwepa wajibu na kutafuta Mbuzi wa kafara ili kumwangushia jumba bovu.

Nimshukuru mgeni rasmi hajamung'unya maneno, kasema Wazi 'Wanasimba wamekaairika na bado Wana hasira na matokeo mabovu ya timu, Bodi ihakikishe mashabiki wanapata furaha.

Bodi acheni janja janja.
unadhani bila utetezi huo wangesema nini?
 
Mechi za kimataifa kufungwa nje ndani na alahly kutoshinda game hata moja hatua ya makundi ni figisu za board ya ligi wasilete sababu zisizokuwa na mashiko wala maaana
 
Back
Top Bottom