Hatimaye leo Nyani Ngabu afutwa rasmi kwenye list ya Notable Members.

Hamna wala sio kosa kubwa, kuna Uzi mmoja unakwenda kwa jina la the greatest intelligent Jf unamuhusu the bold, kupitia ule Uzi watu kibao wamekula ban mule
 
Hamna wala sio kosa kubwa, kuna Uzi mmoja unakwenda kwa jina la the greatest intelligent Jf unamuhusu the bold, kupitia ule Uzi watu kibao wamekula ban mule
Alifanyaje kupitia huo uzi?
 
Anatumia cheti feki, kwa kosa la kughushi wamemtoa, pia kutokana na hali ngumu ya kiuchumi inayomkabili mbeba mabox huyo ameahindwa kuchngia chochote jf kwa muda mrefu. Ni mtaazamo wangu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…