Sio namkazia bali namuweka sawa
Kwa kipindi kirefu amekuwa akijiona yeye ndo yeye humu JF mpaka baadhi ya watu walikuwa wanahisi huenda na yeye ni moderator halafu kuna uzi miaka ya nyuma ulianzishwa na member mmoja anaitwa Wambee alikuwa analalamika mbona jamaa hapewi ban hata akifanya kosa
,sasa moderator wameonesha kuwa hawampendelei mtu yeyote humu ukizingua unapewa adhabu yako kulingana na kosa ulilolifanya
Huyu ngabu mpaka akafutwa kwenye hiyo list na kupewa ban juu inaonekana moja kwa moja alifanya kosa kubwa sana lililopelekea mods kumpa adhabu hiyo