Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Ingawaje unampa moyo mkuu bado suali hajalijibu [emoji23][emoji23]
Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.
 
Alichaguliwannanani MKUU ?!
Nitalijibu kwa mara nyingine tena swali hili kwa faida ya wengi:

Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge kupitia sheria zilizotungwa na bunge. Hili nilikwisha lisema muda mrefu na ndilo jibu lenyewe.

Maamuzi ya kibunge hufanywa na wabunge kwa niaba ya wananchi Waingereza. Maana yake ni kuwa wabunge huwawakilisha wananchi katika masuala yote ya kimaamuzi ya bunge pamoja na utungaji wa sheria na kanuni za kiutawala za nchi. Mfumo huo hujulikana kama Indirect Democracy.

Kwa maana hiyo, Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge la Uingereza kupitia mfumo wa Indirect Democracy kutokana na sheria zilizotungwa na bunge hilo.
 
Hivi ghadafi alikuwa akitoa wapi pesa maana zilikuwa hazimuishii licha ya kuwekeza kwenye miradi ya mabilioni ya $$$$$$
 
Queen Elizaberth yupo madarakani mwaka wa ngapi huu? Kuna fitina?
 
Hoja nyepesi sana hii.

Hoja hii ndio hiyo hiyo ya hao walioisababishia Libya matatizo. Na wote wanaokuja na hoja hii ni watu wenye chuki tu kwa kuwa Libya ni nchi ya waislam
 
Queen Elizaberth yupo madarakani mwaka wa ngapi huu? Kuna fitina?
Tatzo mnaishia Queen Elizabeth queen elizabeth, wenzenu walishawazidi kiuchumi na kijeshi jmn lazma tutafute njia ya kuweza kujikwamua kiuchumi na kuepuka utegemezi. Au ilikaa kimya hadi Gadafi anakufa ndio wanaibuka kupiga kelele, hv ingekuwa nchi ya EU inafanyiwa vile nchi za EU zingekaa kimya. Kuonewa waafrica tumesababishiwa na viongozi wetu wenyewe na ndio maana hata viongozi wetu wakionja maumivu ya ujinga wao Wala huwa sipati tabu kbs
 
 

Kawa madarakani kwa faida au analeta madeni na kuweka pesa nje zinazofaidisha mabeberu?
 
Hoja nyepesi sana hii.

Hoja hii ndio hiyo hiyo ya hao walioisababishia Libya matatizo. Na wote wanaokuja na hoja hii ni watu wenye chuki tu kwa kuwa Libya ni nchi ya waislam
Duh !!. Mjadala uko karibu post 200 sikuona hoja ya uislamu humo . Lazima una udhaifu wa kujenga hoja. Pole
 
Hapa umenijibu walau

Ukomo wa MALKIA kila baada yamuda gani ?!
 
Hivi ghadafi alikuwa akitoa wapi pesa maana zilikuwa hazimuishii licha ya kuwekeza kwenye miradi ya mabilioni ya $$$$$$
Alikua sio mfujaji kama walivyo viongozi wengi ULIMWENGUNI sio AFRIKA tu ULIMWENGUNI viongozi wote ama wengi washenzi washenzi kama KANAL alikua mwenyewe tu nahisi...
 
Watakuchosha tu mkuu. Naona na nchi ya wadanganyika bunge limeahidi likitoka likizo. Mtu apende asipende katiba linavunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…