Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kabsa naona wanahangaika hangaika tu aseeee.Hahahaha naona unawakaba mpaka wanapanic, hawapendi ukweli hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabsa naona wanahangaika hangaika tu aseeee.Hahahaha naona unawakaba mpaka wanapanic, hawapendi ukweli hawa
Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.
Nitalijibu kwa mara nyingine tena swali hili kwa faida ya wengi:Alichaguliwannanani MKUU ?!
Nampa moyo nani tena mkuu na swali gani halijajibiwa?Ingawaje unampa moyo mkuu bado suali hajalijibu [emoji23][emoji23]
Queen Elizaberth yupo madarakani mwaka wa ngapi huu? Kuna fitina?Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
Hoja nyepesi sana hii.Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Tatzo mnaishia Queen Elizabeth queen elizabeth, wenzenu walishawazidi kiuchumi na kijeshi jmn lazma tutafute njia ya kuweza kujikwamua kiuchumi na kuepuka utegemezi. Au ilikaa kimya hadi Gadafi anakufa ndio wanaibuka kupiga kelele, hv ingekuwa nchi ya EU inafanyiwa vile nchi za EU zingekaa kimya. Kuonewa waafrica tumesababishiwa na viongozi wetu wenyewe na ndio maana hata viongozi wetu wakionja maumivu ya ujinga wao Wala huwa sipati tabu kbsQueen Elizaberth yupo madarakani mwaka wa ngapi huu? Kuna fitina?
Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Duh !!. Mjadala uko karibu post 200 sikuona hoja ya uislamu humo . Lazima una udhaifu wa kujenga hoja. PoleHoja nyepesi sana hii.
Hoja hii ndio hiyo hiyo ya hao walioisababishia Libya matatizo. Na wote wanaokuja na hoja hii ni watu wenye chuki tu kwa kuwa Libya ni nchi ya waislam
Siyo sababu za kuvunja katiba .Kawa madarakani kwa faida au analeta madeni na kuweka pesa nje zinazofaidisha mabeberu?
Hapa umenijibu walauNitalijibu kwa mara nyingine tena swali hili kwa faida ya wengi:
Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge kupitia sheria zilizotungwa na bunge. Hili nilikwisha lisema muda mrefu na ndilo jibu lenyewe.
Maamuzi ya kibunge hufanywa na wabunge kwa niaba ya wananchi Waingereza. Maana yake ni kuwa wabunge huwawakilisha wananchi katika masuala yote ya kimaamuzi ya bunge pamoja na utungaji wa sheria na kanuni za kiutawala za nchi. Mfumo huo hujulikana kama Indirect Democracy.
Kwa maana hiyo, Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge la Uingereza kupitia mfumo wa Indirect Democracy kutokana na sheria zilizotungwa na bunge hilo.
Alikua sio mfujaji kama walivyo viongozi wengi ULIMWENGUNI sio AFRIKA tu ULIMWENGUNI viongozi wote ama wengi washenzi washenzi kama KANAL alikua mwenyewe tu nahisi...Hivi ghadafi alikuwa akitoa wapi pesa maana zilikuwa hazimuishii licha ya kuwekeza kwenye miradi ya mabilioni ya $$$$$$
Katiba ilikua inasemaje ?!Siyo sababu za kuvunja katiba .
Watakuchosha tu mkuu. Naona na nchi ya wadanganyika bunge limeahidi likitoka likizo. Mtu apende asipende katiba linavunjwaNitalijibu kwa mara nyingine tena swali hili kwa faida ya wengi:
Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge kupitia sheria zilizotungwa na bunge. Hili nilikwisha lisema muda mrefu na ndilo jibu lenyewe.
Maamuzi ya kibunge hufanywa na wabunge kwa niaba ya wananchi Waingereza. Maana yake ni kuwa wabunge huwawakilisha wananchi katika masuala yote ya kimaamuzi ya bunge pamoja na utungaji wa sheria na kanuni za kiutawala za nchi. Mfumo huo hujulikana kama Indirect Democracy.
Kwa maana hiyo, Malkia wa Uingereza alichaguliwa na bunge la Uingereza kupitia mfumo wa Indirect Democracy kutokana na sheria zilizotungwa na bunge hilo.
Sure mkuu huyu jamaa alikuwa amebaki yeye tu labda baada ya yule mzee wa butiamaAlikua sio mfujaji kama walivyo viongozi wengi ULIMWENGUNI sio AFRIKA tu ULIMWENGUNI viongozi wote ama wengi washenzi washenzi kama KANAL alikua mwenyewe tu nahisi...