Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Ni kweli wanajuta au ni hisia zako tu?Sasa hiyo fitina imewasaidia nini? Wamerudi nyuma zaidi ya miaka 42. Walibya wanajuta sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wanajuta au ni hisia zako tu?Sasa hiyo fitina imewasaidia nini? Wamerudi nyuma zaidi ya miaka 42. Walibya wanajuta sana!
Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
Upo sahihi unachosema lakini ujue mmarekani hakuingia tu kuivamia ila alipatia kichaka kwa kushawishi wapinzani wa Gadafi juu ya yeye kuiongoza nchi muda wote huo watu wakareact ndio nao wakapenyeza lengo lao. Yote hayo lazma ujue Libya bado haikuwa na nguvu km China na urusi yakuweza kuitunishia msuli marekani na washirika wake. Gadafi angeweza kuitunishia msuli marekani iwapo pia umoja wa afica ungekuwa na nguvu coz wangeweza kumlinda. Kutokana na udhaifu huo Gadafi ilibidi alione hilo na akabidhi madaraka kwa mtu mwingine ili kuondoa ile dhana ya kuongoza kwa muda mrefu. Ni kwambie tu hata hapa Tanzania watu wanavumilia uongozi fulani wakiamini baada ya miaka mitano au kumi atatoka kikatiba so anaweza kuja ambaye wanaamini lamda atakuwa Bora zaidi, lakini laiti isingekuwa hiyo kupokezana lazma hali ya ugomvi ingetokeaTukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
Malkia wa UK mbna hawawafanyii...Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Ni bora Gadafi alieng'ang'ania madaraka lakini raia walipata neema,kuliko hivi sasa mambo yalivyo.Tatizo ni viongozi au vyama kung'ang'ania madarakani .
Yeah ni kweli kabisa.Damu ya Gaddafi inawalilia
Mnaangalia maendeleo ya vitu huku mnawaumiza wengine mioyo.Ni bora Gadafi alieng'ang'ania madaraka lakini raia walipata neema,kuliko hivi sasa mambo yalivyo.
ni bora nchi iwe na kiongozi mwenye utawala wa chuma kuliko nchi ikikosa kiongozi kabisa, kila mtu akashika silaha kutaka uongozi.
Tusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
tHapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
Hivi kweli, unadhani hawajuti, nenda hata youtube uone wanavyojuta na kukiriNi kweli wanajuta au ni hisia zako tu?