Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Huko Libya ni mbali sana. Mfano unaotuhusu ni wa hapa hapa Dar. Ukiangalia majengo ya eneo la Posta na mitaa ya Jamhuri unaweza ukatoa machozi. Mfano mzuri ni jengo ambalo lilikuwa la Wizara ya Maji na baadaye Ofisi ya Makamu wa Raisi pale posta ya zamani.

Ukiliangalia jengo hilo sasa hivi kwa sisi tuliokuja mjini kabla ya Mbunge wa Wandamba Lijualikali, utatoa machozi. Mpaka najiuliza kama kuna njama za makusudi zinafanywa na waliohamia Dar wakiwa watu wazima za kuubemenda mji huu wa wala chapati!
 
Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.

Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
 
Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
 
Upo sahihi unachosema lakini ujue mmarekani hakuingia tu kuivamia ila alipatia kichaka kwa kushawishi wapinzani wa Gadafi juu ya yeye kuiongoza nchi muda wote huo watu wakareact ndio nao wakapenyeza lengo lao. Yote hayo lazma ujue Libya bado haikuwa na nguvu km China na urusi yakuweza kuitunishia msuli marekani na washirika wake. Gadafi angeweza kuitunishia msuli marekani iwapo pia umoja wa afica ungekuwa na nguvu coz wangeweza kumlinda. Kutokana na udhaifu huo Gadafi ilibidi alione hilo na akabidhi madaraka kwa mtu mwingine ili kuondoa ile dhana ya kuongoza kwa muda mrefu. Ni kwambie tu hata hapa Tanzania watu wanavumilia uongozi fulani wakiamini baada ya miaka mitano au kumi atatoka kikatiba so anaweza kuja ambaye wanaamini lamda atakuwa Bora zaidi, lakini laiti isingekuwa hiyo kupokezana lazma hali ya ugomvi ingetokea
 
Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.

Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Malkia wa UK mbna hawawafanyii...
 
Ni bora Gadafi alieng'ang'ania madaraka lakini raia walipata neema,kuliko hivi sasa mambo yalivyo.
ni bora nchi iwe na kiongozi mwenye utawala wa chuma kuliko nchi ikikosa kiongozi kabisa, kila mtu akashika silaha kutaka uongozi.
Mnaangalia maendeleo ya vitu huku mnawaumiza wengine mioyo.

Gaddafi angeweka utaratibu mzuri wa wana Libya kupokezana uongozi haya tote yasingetokea. Yanatokea kwa sababu kuna pengo la uongozi. Kila mtu kawa kambale. Ni kwa sababu silaha zimeingia kwenye mikono isiyo salama japo ni raia wa Libya
 
Tunapoelekea libya itakuwa zaidi ya syria,,sababu uturuki wamekita mizizi,,waarabu wamepagawa sana,,kama ujuavyo nchi nyingi za kiarabu zilipigana na uturuki ndo zikapata uhuru,
Sasa wanaona uturuki anazidi kujitanua,mturuki kakamata ardhi syria,anajongea iraq,,ana kambi za jeshi Qatar,somalia na sasa libya,,
Halmark zote za uturuki kutaka kujitanua na kurudisha himaya ya ottoman,ziko wazi,
So waarabu sasa wanaungana wakuongozwa na Egypt dhidi ya uturuki nchini libya,
Kama vita itazuka hii itakuwa kiboko,
Uturuki yuko na Qatar, italy,na US kwa mbali,dhidi ya Egypt,Uae, Russia,france,saud na wapambe wao,mambo ni fire,,inaonekana mturuki yuko mafuta vibaya,,nani atamfunga breki ndo suala wanajiuliza,
Marekani anamgwaya,Russia hawajui la kufanya,,ulaya wamepaniki
 
Tukubali tu kuwa watu wenye asili ya kiarabu uongozi wa kifalme ndo njia sahihi, wangeuboresha tu Basi,mfano angalia Iraq demokrasia wapi na wapi?
Ni kweli Ghadafi alikaa sana madarakani, na Hawa wazungu hawajamtoa kisa demokrsia, sio, he was a big threat to their economic interests.
Huoni walivyo muua demokrasia iko wapi?
Wenye maono ya kitaifa wanataka kiongozi bora na sio uchaguzi wa Kila Mara. China wamepata mwamba Xi na Ususi wamepamata mtaalamu Vladimir Putin
Linganisha hao na sisi ambao Kila Mara tunawaza uchaguzi hamna kitu
Tusijifiche kwenye kiongozi bora au chama bora. Utaratibu ukiwepo wa kupokezana madaraka uheshimiwe .

Mataifa yenye maendeleo endelevu ni yale ya kidemocrasia. Kabla kiongozi hajawaza kuwa mungumtu apumzishwe.
 
Hapo ndipo ukweli huwa hausemwi, ukiwa km kiongozi lazima usome nyakati na unachokijenga ili kiwe faida kwa wengine lazma kuwe na kiasi. Binadamu ni mtu asiyerizika kwa hiyo watu walibya waliamini wangepata zaidi na haiwezekani mtu mmoja aongoze nchi kwa zaidi ya miaka arobaini na bado anataka kurithisha mtoto. Gadafi ilibidi aachie madaraka pale alipoanza kuona upingamizi juu yake ampe madaraka kwa mtu mwingine aliyemuamini hata km ingekuwa kwa sanduku la kura then baadae uwezekano wa mwanae kupata uraisi ungeweza kuja na heshima yake ingebaki na nchi ingekuwa salama. Lakini kushupaza shingo akakosa vyote uhai na utajiri wa nchi.
t
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom