Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
514
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.

[emoji116] [emoji116]


Update
Wachezaji wenye thamani zaidi duniani watajwa. Ambapo Neymar akichukua nafasi ya 1 akifatiwa na Lionel Messi anayechukua nafasi ya 2. Wakati mchezaji wa real Madrid Christian Ronaldo akichukua nafasi ya 49.

Wachezaji wa thamani ya juu zaidi duniani watajwa

Sababu ya Ronaldo kushika namba 49 kwa thamani duniani | Azam | Michezo | Swahili
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
 
Huyu hana kitu, hatii miguu kwa Bujibuji
 
Mkuu usiseme tokea lianze sema kwenye kizazi hiki ,maana huko nyuma kulikuwa na na mastaa zaidi na zaidi ya huyo messi wako

Wataje hao waliomzidi. Najuwa kigezo chako ni kombe la dunia.wakati ile ni teamwork
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa

Epl akafanye nini huko!! Yani atoke timu kubwa alafu akajitupe epl.ndiomana nikakuambia timu kubwa na yenye hadhi kwake ni Barca na Real madrid kidogo. Hao wengine watamlipa nini huyu kiumbe,, wakati uwezo huo hawana na timu zenyewe hazina tofauti na za kwetu
 
Wataje hao waliomzidi. Najuwa kigezo chako ni kombe la dunia.wakati ile ni teamwork
Hapa nazungumzia uwezo binafsi wa mchezaji kama zidane, Ronaldinho, na hata J okocha kumiliki mipira na kufunga sasa messi wako waweza muweka kwenye hilo kundi? Jibu ni hapana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…