Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Ka EPL keno hakana kitu hako Pep anakakimbiza balaa
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Mzee WAAMBIE MANCHESTER CITY WATOE HELA HIZO ,KWANI NEYMAR HAKUUZWA
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
WAAMBIE MANCHESTER CITY WATOE HELA HAKUNAA MCHEZAJI ASIYE UZWA DUNIANI
 
Mkuu kama club anayo ijua ni Barca, umejuaje kuwa akitoka hataweza ku-perform?
Nakushauri uache uganga, pia uzuri wa mchezaji haupimwi kwa kupita team nyingi
Haya tuseme amecheza Argentina kaifanyia nini
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Eti mbeleko? Hata Gardiola mlisema huyo hawezi fika popote akienda EPL. Ameenda EPL msimu uliopita, mkawa mnsema hakuna kitu huyo Barcelona ilikuwa inambeba ndiyo maana hachaweza kuchukuwa UCL na Bayern. Msimu huu wote kimya...

Messi10 anakatiza toka katikati ya uwanja na kuwapita mabeki hadi kwenye goli, alafu eti unakuja na ubishi wa kidwanzi eti kwa 7bu kachezea timu moja.

Kuna uhusiano gani kati ya uwezo binafisi wa kucheza Mpira na kuchezea kilabu 1/tofauti? Je timu yake ya Taifa nayo iko Spain?

Kwani timu za EPL huwa hafungi/hajwahi kufunga ? Nasikia ni Chelsea peke nao wasubiri mwezi ujao tu, utasikia tu...

Acheni ushabiki, mihemko na hoja zisikuwa na mashiko...
 
Kifupi anabebwa na team mbona Argentina kacheza miaka zaidi ya kumi hata kombe LA kuku hana. Guadiola kafanya nini pale EPL
 
Unaelewa maana ya team mkuu? Last world cup messi alikuwa na machango wa magoli mpaka wakafika final
Tunasema ndooo fainali hata malouda na evra washafika je nao tusemeje
 
Haya tuseme amecheza Argentina kaifanyia nini
Vikombe ni matokeo ya timu nzima kwa kuwa na timu work ya wachezaji wote. Tatizo watu huwa wanachanganya kati ya "individual performance" na "team performance".

Ukiangalia uwezo wa Messi10 (individual performance) uko juu muno, labda uwe mbishi tu wa kuzaliwa.

Hapa tunaongelea uwezo binafisi wa mchezaji na siyo collective performance ya team nzima kama jinsi ambavyo wengi wenu mnakuja na hoja za sijui Fulani kashinda Euro, UCL, n.k...
 
Unaelewa maana ya team mkuu? Last world cup messi alikuwa na machango wa magoli mpaka wakafika final
Ndio mana tunarudi palepale kua team work UA bacerona ndio inambeba hivo hawezi enda popote zaidi ya kubakia baca hawezi fanikiwa popote
 
Baada ya chama langu ITALY kutolewa, nitamsapoti MESSI & ARGENTINA yake WC 2018.

Ukiiondoa UJERUMANI, basi ARGENTINA ingeweza kutwaa ubingwa kirahisi.

Kikwazo ni haya Majerumani kama ilivyokuwa WC 2014.

Nafikiri kombe hili akilibeba litafunga midomo ya wale wenye husuda, akina Pele & co.
 
Vikombe ni matokeo ya timu nzima kwa kuwa na timu work ya wachezaji wote. Tatizo watu huwa wanachanganya kati ya "individual performance" na "team performance".

Ukiangalia uwezo wa Messi10 (individual performance) uko juu muno, labda uwe mbishi tu wa kuzaliwa.

Hapa tunaongelea uwezo binafisi wa mchezaji na siyo collective performance ya team nzima kama jinsi ambavyo wengi wenu mnakuja na hoja za sijui Fulani kashinda Euro, UCL, n.k...
Mafanikio ya team unayochezea ndio yatakufanya uonekanike bora achana na mahaba Niue . mess nje ya baca hata vpl ya kina manara hawezi chukua
 
Back
Top Bottom