Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Epl akafanye nini huko!! Yani atoke timu kubwa alafu akajitupe epl.ndiomana nikakuambia timu kubwa na yenye hadhi kwake ni Barca na Real madrid kidogo. Hao wengine watamlipa nini huyu kiumbe,, wakati uwezo huo hawana na timu zenyewe hazina tofauti na za kwetu
Cr7 mungu wa mpira full stop
 
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.

[emoji116] [emoji116]

Hizi clip za kutafuta ,gaucho amefanya hivi vitu na havina idadi.
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa

Angalia mechi anazokutana nao EPL
So far ligi bora ni ipi?
 
Ch
[emoji23] [emoji23] huyo atakuwa ni mjinga kabisa kudhani kucheza timu nyingi hudhihirisha ubora zaidi lllllllll[/Q
Changamoto tofauti kuonyesha ubora wako mess sio bora ndio mana hata Argentina kashindwa kuipa ubingwa
 
Mapenzi yakizidi mwisho wake ni ujinga na kukufuru,,utamwitaje binadam Mungu was mpira,, neno Mungu limekua rahisi sana mdomoni mwako,..
Mungu na mungu ni vitu viwili tofauti hacha mihemko ya kidini wakati hata dini huijui. Tofautisha hayo maneno . ro
Cr7 ni mungu wa mpira
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Mkuu kama club anayo ijua ni Barca, umejuaje kuwa akitoka hataweza ku-perform?
Nakushauri uache uganga, pia uzuri wa mchezaji haupimwi kwa kupita team nyingi
 
Back
Top Bottom