Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kifupi anabebwa na team mbona Argentina kacheza miaka zaidi ya kumi hata kombe LA kuku hana. Guadiola kafanya nini pale EPL
Hajafanya chochote? Argentina umiepeleka Wewe kombe LA dunia 2018?

Subiri msimu ufike mwisho utajua kafanya nini Gardiola.

[n]Kifupi usimpenda kaja ....hata umchukie vip huwezi badili chochote...
 
Baada ya chama langu ITALY kutolewa, nitamsapoti MESSI & ARGENTINA yake WC 2018.

Ukiiondoa UJERUMANI kama ilivyokuwa WC 2014, basi ARGENTINA ingeweza kutwaa ubingwa kirahisi.

Kikwazo ni haya Majerumani.
Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
 
Ha
Hajafanya chochote? Argentina umiepeleka Wewe kombe LA dunia 2018?

Subiri msimu ufike mwisho utajua kafanya nini Gardiola.

[n]Kifupi usimpenda kaja ....hata umchukie vip huwezi badili chochote...
Hata mane kaipeleka Senegal kombe LA dunia
 
Kifupi anabebwa na team mbona Argentina kacheza miaka zaidi ya kumi hata kombe LA kuku hana. Guadiola kafanya nini pale EPL
Tofautisha kuchukuwa vikombe kwenye klabu na uwezo binafisi. Ndiyo maana mwenye thread hii hajaorodhesha makombe/vikombe na vilabu ambavyo messi10 kacheza. Kakuwekea highlights kuonyesha uwezo wake binafisi.
 
Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
Ha ha ha! Acha utani bhana. Misri & waafrika wenzake sioni wakifika mbali sana kama ilivyo ada.

Argentina ina wachezaji wengi vijana & wenye vipaji.

Natarajia waendeleze walipoishia WC 2014.
 
Mafanikio ya team unayochezea ndio yatakufanya uonekanike bora achana na mahaba Niue . mess nje ya baca hata vpl ya kina manara hawezi chukua
Nilichogundua Wewe hujui Mpira. Nakwamba unamchukia Messi10 na Gardiola kwa 7bu ya Barcelona.

Hata ukiwachukia huwezi kupunguza chochote juu ya uwezo wa binafisi. Na automatically wewe utakuwa team fake ronado na madridiots...

Baki na ubishi wako
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Wewe uliposikia kuwa messi hajawahi kucheza tim nyingine nawe unaleta hapa sio, ina maana hayo magoli anayofunga anayafunga kwa kuwa gupo BARCA?

Acha kutuletea mambo ya kijiwen hapa. Messi atabaki kuwa King hata msene vipi.
 
Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
Kumbe unamchukia kwa 7bu ya ubaguzi wako ?. Yaani ubaguzi wako ndiyo kigezo cha kumuona Messi10 hafai??? Mo Sarah anajuwa Mpira ni mwafika kama Mimi lakini siwezi kumchukia Messi10 kwa 7bu siyo mwafrika.

Hapa tunaangalia uwezo binafisi wa mchezaji uwanjani na siyo utaifa/rangi ya mchezaji.

Kumbe hata 7bu za mwanzo ulikuwa unazuga tu, kumbe wewe ni mbaguzi, hapo sawa. Endelea na ubaguzi wako usikuw na tija
 
Barcelona inambeba ila nje ya hapo habebwi ndio mana hafanikiwi
Messi anaibeba Barcelona, magoli yake anazisha move na anamaliza yeye au ana assist.
Swala la msingi ni kusema Barcelona anacheza na watu wanao jua majukum yao lkn Argentina baadhi ya wenzie hawawezi kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Kwani Messi hajawah kucheza na hizo team za EPL? UNAJUA KWANIN % kubwa wa washabiki wa team za EPlL wamnachukia the king messi na team yake ya BARCA? Hiyo tim ya barca uwafunga nmpk umekuwa chuki na ukitaka kujua hilo WATU HAO HUWA WAKIKUTA BARCA IKICHEZA WANASEMA TOA WEKA CHANNEL NYINGI, UKISIA MTU AKISEMA HIVYO,JUA TIM YAKE YA EPL ILIWAHI KUNYOLEWA NA BARCA NA PIA MESSI ALITUPIA BAO SIKU HIYO. FUTILIA UTAONA UKWELI HUO.

NI MESSIIIIIIIIIIIIIIIIJIIIIIIIIII UPENDE AU USIPENDE.
 
Mkuu unachekesha, kwahiyo unataka afanye nini?
Mchango anao utoa pale Barcelona huoni?
Nafikiri hata El classico ya juzi, 23/12/2017 hawakuangalia hawa. Messi10 aliwekewa watu wawili wa kum-mark (Casemiro na Kovacic) lakini bado alitengeneza chance nyingi tu kuliko mchezaji yoyote siku ile.

Kama hiyo haitoshi bado aliweza kutoa Assist ya goli LA 3. Alafu mtu bado anadai eti barca ina mbeba, bora wangesema Messi10 ndiyo barca anaibeba.
a240df85426536bd621886c8acfc645b.jpg


Hizi ni chance alizotengeneza peke yake kwenye el classico ya tarehe 23/12/2017.
 
Back
Top Bottom