Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kawao
Kuna watu wabishi duniani acha tu. Messi anachukiwa kwa sababu kawapiku wakina maradona, pele, zidane, de stefano, requelme, puskas, cr7, di lima, gaucho n.k

Mtaongea sana tu lakini habari ndio hiyo, mtake msitake. hapo Messi ndiye anawaongozea hao niliowataja hapo juu. King of the kings
Kawapiku kwa lipi babu mbona unapiga kelele tu na mahaba niue yako. Cr mfalme hajabakiza kitu chini ya jua sio EPL LA liga uefa uero na uchafu wote ambao mess itabaki simulizi kwake na kwenu
 
Nafikiri hata El classico ya juzi, 23/12/2017 hawakuangalia hawa. Messi10 aliwekewa watu wawili wa kum-mark (Casemiro na Kovacic) lakini bado alitengeneza chance nyingi tu kuliko mchezaji yoyote siku ile.

Kama hiyo haitoshi bado aliweza kutoa Assist ya goli LA 3. Alafu mtu bado anadai eti barca ina mbeba, bora wangesema Messi10 ndiyo barca anaibeba.
a240df85426536bd621886c8acfc645b.jpg


Hizi ni chance alizotengeneza peke yake kwenye el classico ya tarehe 23/12/2017.
ilifikiri umeleta EPL aliyobeba mess kumbe unazungumzia chance
 
Tofautisha kuchukuwa vikombe kwenye klabu na uwezo binafisi. Ndiyo maana mwenye thread hii hajaorodhesha makombe/vikombe na vilabu ambavyo messi10 kacheza. Kakuwekea highlights kuonyesha uwezo wake binafisi.
Uwezo binafsi bila mafanikio ni maneno tupu apo
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Kama kipimo cha ubora ni kucheza timu tofaut tofaut....hata mrisho ngasa ni zaid ya king messi
 
Hii ndio sababu washabiki wa Madrid hawatak kukubaliana na ukweli[emoji116] [emoji116]



Ni Ronaldinho peke yake ambaye washabuiki wa Real Madrid walimpigia makofi alipokuwa akitoka nje ya uwanja kumpisha mchezaji mwingine kuchukua nafasi yake ingawa aliwafunga goli mbili siku hiyo ya mechi pale pale uwanjani kwao.
 
Back
Top Bottom