Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Ndo tatizo lenu mashabiki wa Messi..
Tushawabutua sana Camp Nou
vikombe ndo usiseme.... lakini badoo
FT: Barca 5-0 Celta Vigo, Messi10 (bao 2 na assist 1). Na alitoka dk ya 58 akaingia mwanafunzi wake mpya Dembele a.k.a Mosquito.

Bado mtu anasema Messi10 barca ina mbeba, (kwa kigezo kipi?). Kwanini usiseme tu ukweli wako kwamba Messi10 barca anaibeba...
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Sio habari
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
hizo timu za epl sio level yake.mchezaji wa dunia anacheza barca sio spurs,arsenal wala chelsea
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Washabiki wa Man U wa ajabu sana,
kuna wakati walikuwa wanasema Pep sio kocha bora
sababu ligi alizopita ni dhaifu sana
sasa amekuja pale pale England chamoto wanakiona.
 
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.

[emoji116] [emoji116]

Weka na clip ya Ronaldo tuwalinganishe
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
CR7 for real
 
Kawao

Kawapiku kwa lipi babu mbona unapiga kelele tu na mahaba niue yako. Cr mfalme hajabakiza kitu chini ya jua sio EPL LA liga uefa uero na uchafu wote ambao mess itabaki simulizi kwake na kwenu
Kumbe unamapenzi na CR, na unataka messi ashinde euro wakati yeye muamerica?
 
Na washangaa sana mashabiki wa EPL, na niwaulize maswali yafuatayo:
1. Kwani ili mchezaji awe bora lazima acheze EPL?
2. Mara ya mwisho hiyo ligi yenu pendwa kutoa mchezaji bora mwaka gani? Na kwanini?
Mchezaji mzuri hawezi hama kutoka La liga kwenda EPL, kwahiyo messi akihama Barca na kwenda team yeyote ya EPL mujue amechuja mno. Kwa miaka zaidi ya 10 sasa laliga ndio ligi bora
 
Washabiki wa Man U wa ajabu sana,
kuna wakati walikuwa wanasema Pep sio kocha bora
sababu ligi alizopita ni dhaifu sana
sasa amekuja pale pale England chamoto wanakiona.
Washabiki wa man wengi hawana ubongo
 
Back
Top Bottom