Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

mkuu unaleta mjadala mpya kuhusu Messi10?

Mbona hilo lilishajadiliwa na jibu Lake kila mtu anajua kuwa King ni mmoja tu.

cd2ad3c153efd9f7fd75b7b79d55f884.jpg
Mchawi wa soka[emoji115][emoji115]
 
Ila mkuu hili swala lina mantiki maana kuna wachezaji wakihamaga team wanachuja vibaya mno
Maneno yalisemwa hata kwa guardiola kwamba hawezi fanya vizuri nje ya Barca tena wakasema ligi ya Uingereza anaikwepa ila leo hii wanaweza kusema nini kwa rekodi yake hapo hapo EPL?
 
Walisema kwamba Xavi akitoka na Iniesta ndo mwisho wa Leo Messi ila ndo kwanza anawasha moto ... tofautisha kipaji na wale watu wanafanya mazoezi ya kukimbizana na Magari
 
Asa hilo goli mbona la kawaida Tu na wachezaji kibao wanafunga hizo solo goals kila week
 
Kwani kucheza team nyingi ndio kipimo?
Yes maana utakutana na watu wapya,uongozi mpya na mashabiki wapya fomula ya mpira mpya n.k haihitaji nguvu nyingi kufikiria
 
Kuna watu wabishi duniani acha tu. Messi anachukiwa kwa sababu kawapiku wakina maradona, pele, zidane, de stefano, requelme, puskas, cr7, di lima, gaucho n.k

Mtaongea sana tu lakini habari ndio hiyo, mtake msitake. hapo Messi ndiye anawaongozea hao niliowataja hapo juu. King of the kings
 
Walisema kwamba Xavi akitoka na Iniesta ndo mwisho wa Leo Messi ila ndo kwanza anawasha moto ... tofautisha kipaji na wale watu wanafanya mazoezi ybizana na Magari

Kwani tika xavi aondoke messi kafanya kipi kipya kijana
 
Back
Top Bottom