Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

Hiyo timu ni kituko cha mwaka

Wengine wana malengo ya kutwaa kombe wao malengo ni kiatu cha mfungaji bora, man of the match na medali ya mshindi wa pili
 
Hiyo timu ni kituko cha mwaka

Wengine wana malengo ya kutwaa kombe wao malengo ni kiatu cha mfungaji bora, man of the match na medali ya mshindi wa pili
Bora nyie simba mshachukua makombe dah inabidi tujifunze kwenu na msimu huu umeyabeba pia
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Nilikua sitaki kucheka..
Kesho wanatimba ikulu...
😑😑😑😑😑🫀☹️🫀☹️😐
 
Mashabiki wengi wa simba wasipopata matibabu ya haraka, watageuka na kuwa wachawi.

Wameingiwa na wivu wa ajabu sana uliosababishwa na mafanikio ya Yanga msimu huu.
Kwahiyo tunapaswa kufurahia medali? Medali ni tunu binafsi za wachezaji, lingekuwa ni kombe angalau tungesimama kama taifa.

Tumieni akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…