Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

Hatimaye Mabingwa wa medali CAFCC Yanga SC wamerejea nchini

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.

D3BDA011-74CB-4556-88B5-40CCD931DDA9.jpeg

753146D1-144A-485B-8448-D4FE4B2933CD.jpeg
 
Hiyo timu ni kituko cha mwaka

Wengine wana malengo ya kutwaa kombe wao malengo ni kiatu cha mfungaji bora, man of the match na medali ya mshindi wa pili
 
Hiyo timu ni kituko cha mwaka

Wengine wana malengo ya kutwaa kombe wao malengo ni kiatu cha mfungaji bora, man of the match na medali ya mshindi wa pili
Bora nyie simba mshachukua makombe dah inabidi tujifunze kwenu na msimu huu umeyabeba pia
 
Mashabiki wengi wa simba wasipopata matibabu ya haraka, watageuka na kuwa wachawi.

Wameingiwa na wivu wa ajabu sana uliosababishwa na mafanikio ya Yanga msimu huu.
Kwahiyo tunapaswa kufurahia medali? Medali ni tunu binafsi za wachezaji, lingekuwa ni kombe angalau tungesimama kama taifa.

Tumieni akili.
 
Back
Top Bottom