Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

Hatimaye madude ya kulinda anga za Ukraine yawasili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine.

Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris.

Yakifungwa vizuri basi shughuli irudi kwenye mapambano ya kijeshi, wanaume kwa wanaume, achaneni na bembea za watoto...takbir..

Kyiv:
Ukraine announced on Monday it had received more air defence systems from Western military allies, saying the weapons would help defend against Russian attacks that have recently targeted energy infrastructure.

"NASAMS and Aspide air defence systems arrived in Ukraine! These weapons will significantly strengthen the Ukrainian army and will make our skies safer," Defence Minister Oleksiy Reznikov said on social media.

"We will continue to shoot down the enemy targets attacking us. Thank you to our partners -- Norway, Spain and the US," Reznikov added.

Russian strikes over the past month have destroyed around a third of Ukraine's power stations and the government has urged Ukrainians to save electricity as much as possible.

Authorities in Kyiv said on Monday that the situation around the city's ability to supply energy to residents remained "tense" and urged Ukrainians in the capital to limit use of electricity in peak hours.

"We ask all residents of the region to support energy workers in the struggle on the energy front," it said on the social media platform Telegram.

Reznikov said last month that Ukraine had received the first Iris-T defence system from Germany.

Post a comment(Except for the headline, this story has not been edited by NDTV staff and is published from a syndicated feed.)

Still wanajaribu mitambo yao ambayo ilikuwapo tu gharani. Mrusi nae atakuja na siraha ambayo hajaitumia bado inayoyaweza hayo masilaha ya US.

Ukraine ni sehemu ya kutest mitambo, hali ikiwa mbaya tutaona silaha ambazo hatujawai fikiri kamwe
 
Still wanajaribu mitambo yao ambayo ilikuwapo tu gharani. Mrusi nae atakuja na siraha ambayo hajaitumia bado inayoyaweza hayo masilaha ya US...
Mrusi ameishiwa hadi anaokoteza wanywa gongo wakapigane, sasa sijui nani atampa msaada maana pale Iran alikua ameshikilia panaendelea kuzibwa.
 
Mrusi ameishiwa hadi anaokoteza wanywa gongo wakapigane, sasa sijui nani atampa msaada maana pale Iran alikua ameshikilia panaendelea kuzibwa.
Kwenye vita inayoitaji idadi kubwa ya wanajeshi pengine kwake likawa tatizo, lakini sasa hatujui ana nini hasa gharani kwake.

Am sure vita ikikaribia mipaka ya Russia tutaona mambo ya ajabu, US anajua nadhani.
 
Putin alipaswa akimbize hii issue pale mwanzo mwanzo wakati ikiwa mbichi, kwa sasa amesomwa na kujianika vya kutosha, hana lolote ambalo analoliweza kushtukiza nalo, kwanza pale aliishia kufukuzia wanywa gongo vijiweni wakaitetee nchi ndio alibugi kabisa, maana ni ishara tosha keshafikishwa ukutani, mbaya zaidi kaachia wafungwa wakapigane.

Amelazimika kuomba msaada Iran na Syria, na licha ya yote hiyo kaambulia 15% ya Ukraine na yenyewe inamtoka puani, huku madude yanaendelea kuingizwa Ukraine, madude ya kumtoa pumzi.....muda unavyozidi ndivyo anazidi kushushwa thamani, ukizingatia uchumi wake unaendelea kuangukia pua.

Mashabiki wake pia wamenza kumchoka, hata maustadh walikua wanakesha humu wakimsifia wameanza kukata tamaa..
CC: Bwana Utam
 
Urusi haijafungua Azina yake, maana hayo mataifa 34 juzi yameomba poo
 
Ngoja tuone dikiteta Putin akidhibitiwa asilipue miundombinu ya kiraia atakuwa na lipi Tena la kujivunia [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
atajiingiza mkenge tu kweny nyuklia , west wanamjaza kweny 18 , Putin nlimuona mjanja sana kumbe bwege , mpk sasa Putin akijitoa Ukraine ni kama kashinda maana kapata wafuasi wengi dunian ila bado anakomaa na Ukraine ambao haitamuongezea lolote kama kashindwa kupiga hatua na ardhi aliyo nayo , anasubir aibu tu wafuasi wamkimbie , badala ajiteme na Ukraine aimalishe ushirika na haya mataifa yanamshabikia yeye anakomaa na Ukraine mpk wamfedheheshe kbs
 
Back
Top Bottom