4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
jaman hayo sio mapazia kuwa yatazuia kila kitu ila yatapunguza uzito wa mashambuliz mfano kweny makombora 1000 yanaeza ingia 100 , kwahiyo sehem yenye airdefence lzm ujipange kupashambuliaKwa hiyo kuanzia sasa, mji wa Kiev hatupigwa tena na makombora...?