passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Mbona kuna habari Russia ameshambulia Ukraine usiku hizo zimesaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye vita inayoitaji idadi kubwa ya wanajeshi pengine kwake likawa tatizo, lakini sasa hatujui ana nini hasa gharani kwake.
Am sure vita ikikaribia mipaka ya Russia tutaona mambo ya ajabu, US anajua nadhani.
Mbona kuna habari Russia ameshambulia Ukraine usiku hizo zimesaidia nini?
Sasa hivi yupo Ukraine,kataifa kanato anzisha wewe ataenda.TUENDELEE KUSHABIKIA KABLA YA KAMIKAZE PALIKUWEPO HIMARS.
Wewe naona baada ya kutoka masjid umeamua ujilipue kabisa ukapambane na wale 72 virgins.Kila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
Russia wanajeshi wake wengi wamekufa na wengine ni majeruhi ndio maana walifanya usajili wa watu hata wasio na ujuzi wa kijeshi kupelekwa vitani.
Majuzi tu hao waliopelekwa vitani tayari waliishauliwa kwa wingi na ndipo wengine walipoanza kukimbia ndipo dikteta Putin akapeleka vikosi vya kuwaua wale wanaokimbia vita. Hali ni tete sana ndio maana Russia wamerudi kwenye kurusha makombora ya masafa marefu.
Mkuu mimi ni mrusi wa kariakoo.Nilikuwa namshauri aende yeye kwenye kataifa ka NATO.Kila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
Mkuu mimi ni mrusi wa kariakoo.Nilikuwa namshauri aende yeye kwenye kataifa ka NATO.
Umesahau na hiiii[emoji38][emoji116]Je,wewe una taarifa zipi zinazo sema Zelensky anapeleka professional soldiers kwenye front line na sio ma-conscripts na wazee - tafuta taarifa za front line war correspondents usikie wana sema nini na sio habari hizi za kutunga kutoka BBC,SkyNews, and UK tabloid papers namely: The SUN and tha Mirror ni mahodari sana wa kubuni mambo ambayo hayapo kabisa mradi wamseme vibaya Putin na kujaribu kumdhalilisha kimataifa hilo ndilo lengo lao kuu - binafsi sioni kama crusade zao zimewasaidia chochote kwenye war efforts zao za kujaribu kulishinda jeshi la Urusi - badala yake wanazidi kupigwa na kudhalilishwa licha ya kuunguza matrillion ya fedha na matami na matani ya silaha nchini Ukraine ili kujaribu kumsaidia Zelensky - hakuna cha maana walicho achieve so far!!
Soma vizuriNdio mnaaminishana huko, kwamba Ukraine mwanachama wa NATO?
Umesahau na hiiii[emoji38][emoji116]View attachment 2410430
Kanaitwa HARMKwani Russia yeye hana kale ka bomu katungulia hizi systems! Maana kuna kale ka USA walikatumia Ukrein kulipulia Rada za Russia.
Huna akili. Hiyo sio verified CNN tweetUmesahau na hiiii[emoji38][emoji116]View attachment 2410430
Duh! Madeni zaidi kwa Wa Ukraine. Wamarekani wanachochea tu vita ili vikiisha wapeleke invoice.Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya kutungua mashambulizi ya angani yametua Ukraine.
Madude haya ni NASAM, Aspide na Iris.
Yakifungwa vizuri basi shughuli irudi kwenye mapambano ya kijeshi, wanaume kwa wanaume, achaneni na bembea za watoto...takbir..
Kyiv:
Ukraine announced on Monday it had received more air defence systems from Western military allies, saying the weapons would help defend against Russian attacks that have recently targeted energy infrastructure.
"NASAMS and Aspide air defence systems arrived in Ukraine! These weapons will significantly strengthen the Ukrainian army and will make our skies safer," Defence Minister Oleksiy Reznikov said on social media.
"We will continue to shoot down the enemy targets attacking us. Thank you to our partners -- Norway, Spain and the US," Reznikov added.
Russian strikes over the past month have destroyed around a third of Ukraine's power stations and the government has urged Ukrainians to save electricity as much as possible.
Authorities in Kyiv said on Monday that the situation around the city's ability to supply energy to residents remained "tense" and urged Ukrainians in the capital to limit use of electricity in peak hours.
"We ask all residents of the region to support energy workers in the struggle on the energy front," it said on the social media platform Telegram.
Reznikov said last month that Ukraine had received the first Iris-T defence system from Germany.
Post a comment(Except for the headline, this story has not been edited by NDTV staff and is published from a syndicated feed.)
![]()
Ukraine Hails Arrival Of Western Air Defence Systems Amid War
Ukraine announced on Monday it had received more air defence systems from Western military allies, saying the weapons would help defend against Russian attacks.www.ndtv.com
Wewe naona baada ya kutoka masjid umeamua ujilipue kabisa ukapambane na wale 72 virgins.