4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mbona kama taarifa imetoka kule mnasena mnadanganywaga ila leo ndo mnapaaminHayo madude ni toys Tu kwa warusi oneni kilichotokea usiku huuView attachment 2410334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama taarifa imetoka kule mnasena mnadanganywaga ila leo ndo mnapaaminHayo madude ni toys Tu kwa warusi oneni kilichotokea usiku huuView attachment 2410334
Akil zenu huwa za kitoto sana hv USA ikisema iwe kama Urusi isijali ushindan wa kiuchumi na China aseme awekeze nguv huku tu huyo Urusi wenu atapona hapo ? shukuru Bush hayupo Huyo jamaa alikuwa anapenda vita sana na mpk sasa Urusi angekuwa anarusha nyuklia maana hali ingekuwa tete kwakeMkuu, USA hasa Biden na washauri wake wa kijeshi wanalijua sana hilo, kwamba Urusi ikihamua kufanya kweli ni moto wa kuotea mbali si mchezo, ndio maana Biden juzi hapa aliwatuma washauri wake kwa siri kwenda kumsihi Putin waanze mazungumzo ya kumaliza mgogoro/vita ya huko Ukraine - watu wenye kuona mbali wanajua kwa nini Serikali/jeshi la Merikani limeanza kumshtukia Putin na kuona kuna umuhimu wa kipekee kuanza kuelewana na Putin now not later, cha ajabu wanajitokeza mavuvuzela wanatuletea Mickey Mouse Stories - hawazungumzii chochote kuhusu juhudi zinazo fanyika kichini chini kumaliza mgogoro huu wa Ukraine - bottom line is: Hakuna Taifa au shirikisho lolote la kijeshi linaweza kuishinda Urusi kivita - take it or leave it, Up2U.
Kuna mtu anaeza kukujib shit sio kwa vile anapenda bali ni uwez wa mtu anaemjib ni mdg kias anahisi hatoelewa jib , hv Urusi si wana mitambo ya airdefence mbona maeneo ya kadhaa waliwai kudai yaliwai vamiwaHamna kitu, ndio maana Mayor wa Kiev amewasihi wakazi wa jiji wahame - sasa kama Ukraine ingekuwa na uwezo wa kijikinga/linda dhidi ya makombora hatari ya Urusi kwa nini Serikali yao inawashauri raia kuhama jiji la Kiev??
unapoongea kuwa na ushaidi , tofaut na hapo unakuwa kama MPUMBAV TUKila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
Huwa hamtulii na mada moja akizungumziwa Urusi unaitaja USA ikitajwa USA unaitaja IRAN ikitajwa IRAN unaitaja ISRAEL , hii ni dalili ya stress za maisha , zungumzia mada moja ndo uamie mada nyingine , Urusi ndio kavamia Ukraine sio UKRAINE kavamia Urusi , so ni kituko kuokoteza wapiganaj kwa ugomv umeuanzisha ww mwnywJe,wewe una taarifa zipi zinazo sema Zelensky anapeleka professional soldiers kwenye front line na sio ma-conscripts na wazee - tafuta taarifa za front line war correspondents usikie wana sema nini na sio habari hizi za kutunga kutoka BBC,SkyNews, and UK tabloid papers namely: The SUN and tha Mirror ni mahodari sana wa kubuni mambo ambayo hayapo kabisa mradi wamseme vibaya Putin na kujaribu kumdhalilisha kimataifa hilo ndilo lengo lao kuu - binafsi sioni kama crusade zao zimewasaidia chochote kwenye war efforts zao za kujaribu kulishinda jeshi la Urusi - badala yake wanazidi kupigwa na kudhalilishwa licha ya kuunguza matrillion ya fedha na matami na matani ya silaha nchini Ukraine ili kujaribu kumsaidia Zelensky - hakuna cha maana walicho achieve so far!!
Saana blaza acha tukale mihogo na vipande vya nazi tukawapelekee moto simba kwini ....uzuri siku hizi bodaboda inalipa sana ma kwini unalamba hata kwa buku 2 tukwan nan yupo kweny ya mwenzie , ukosef wa ajira unawatia watu ukichaa
wq ndo mpumbav bora wa 21st Century , umevamiwa halaf unataka utulie uendelee kuvamiwa , tutolee uzezeta wako yaan kijana wa 2022 Unazidiwa akili na kizaz cha 1970s waliipiganja Kagera bila kujali ukubwa wa aduiKila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
Hivi zile HIMARS ziliisha ama zilikodiwa kwenda saudia
Takataka tu hiziTema mate ndugu,Kuna fateh-110 Toka Iran zipo stoo[emoji38]View attachment 2410146
Leo hii habari za BBC ni za kuaminika?Hayo madude ni toys Tu kwa warusi oneni kilichotokea usiku huuView attachment 2410334
Kila mtu mwenye akili timamu na reliable info anajua kwamba wanajeshi wa NATO/US ndio wanapigana kwa wingi kujaribu kulisaidia jeshi la Ukraine ambalo limelemewa kila nyanja,, hata hivyo hizi operations zao uchwala za endless and futile counter offesive zimewasaidia nini zaidi ya kuwa-subject kwenye Russian meat glinder wanajeshi wote wa NATO/US walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanauwawa kweli kweli lakini wapi bwana, Zelensky anaendelea kuwatuma wengine bila ya kuwaonea huruma wanajeshi wa NATO/US na Ukraine wanao kufa kizembe kabisa huku Majenerali wa Ukraine/NATO wakijua fika kwamba uwezekano wa wao kulishinda jeshi la Urusi haupo kabisa. Zelensky doesn't care at all, ana roho ngumu kama ya paka.
Wasingeondoka Kerson aise, acha kutupelekesha na maji.Bado nyingine zipo,lakini wanazitumia kwa kujiiba iba hawazianiki tena kwenye sehemu ambayo hiko wazi, hapo nazungumzia kuhusu rocket launcher pamoja na kilori chake - linapo kuja suala za guided roketi(shells) zenyewe hizo Urusi imekwisha pata dawa ya ku-deal nazo - siku hizi roketi za HIMARS zinakuwa swept out of the sky like flies by Russian latest no nonsense BuK-M3.
Onyango mambo vipi jaberMrusi ameishiwa hadi anaokoteza wanywa gongo wakapigane, sasa sijui nani atampa msaada maana pale Iran alikua ameshikilia panaendelea kuzibwa.
Mzee hata sijui una umri gani, maana unaongea utopia hadi basi, huna tofauti na waleviwa gongo wanaobishana kuhusu yanga na simba wakati hawawezi kusoma gazeti lililoandika kuhusu simba na yanga.Putin alipaswa akimbize hii issue pale mwanzo mwanzo wakati ikiwa mbichi, kwa sasa amesomwa na kujianika vya kutosha, hana lolote ambalo analoliweza kushtukiza nalo, kwanza pale aliishia kufukuzia wanywa gongo vijiweni wakaitetee nchi ndio alibugi kabisa, maana ni ishara tosha keshafikishwa ukutani, mbaya zaidi kaachia wafungwa wakapigane.
Amelazimika kuomba msaada Iran na Syria, na licha ya yote hiyo kaambulia 15% ya Ukraine na yenyewe inamtoka puani, huku madude yanaendelea kuingizwa Ukraine, madude ya kumtoa pumzi.....muda unavyozidi ndivyo anazidi kushushwa thamani, ukizingatia uchumi wake unaendelea kuangukia pua.
Mashabiki wake pia wamenza kumchoka, hata maustadh walikua wanakesha humu wakimsifia wameanza kukata tamaa..
CC: Bwana Utam
Mzee hata sijui una umri gani, maana unaongea utopia hadi basi, huna tofauti na waleviwa gongo wanaobishana kuhusu yanga na simba wakati hawawezi kusoma gazeti lililoandika kuhusu simba na yanga.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮ha ha ha maustadhi mtatukana lakini ndio ukweli huo, Putin kawaangusha mbaya sana, na juzi hata Kim wa Korea kamkana, hata Iran imekua ikijitetea haimsaidii sijui mtakimbilia wapi sasa.
hivo vidude vya muiran saivi vinatunguliwa kama senenepHypersonic zinasafisha njia halafu vidudde vya muiran vinatumwa
Tuonehivo vidude vya muiran saivi vinatunguliwa kama senenep
uone marangapi kwani ushavisikia tena?Tuone