MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Noma sanaa, kuna hii ngoma ameimba na Jay Electronica, imetoka mwaka jana.....Jay siku zote ni mkali kwenye flow, anajua sana kunata na beat
Yaani ametema barz za kufa mtu, halafu kanata sana na beat, hatari tupu....