Anonymousafrica:
"Sorry, that's another B
Mwaka 2019 Jay-Z alikuwa msanii wa kwanza kwa mitindo ya kufoka (Hip hop) kuwa billionaire wa kwanza hiyo ilikuwa ni mwezi juni.
Haters still ain't recover from the other B
Msanii huyo wa hip-hop na mfanyabiashara nguli Jay-Z akanunua akapiga tena hatua kubwa kwa kununua hisa 50% kutoka katika kampuni ya LVMH Moët Hennessey kutoka kwa rafiki yake wa karibu anayeitwa (Armand de Brignac).
Inaripotiwa yakuwa chapa(brand) hiyo ilikuwa na thamani zaidi ya dola milioni 300$ za kimarekani.
Mm, that's a double B/Nah that's a triple B
Akiwa muasisi na mwanahisa mwenye hisa nyingi Tidal akauza hisa zake kwa muasisi na muanzilishi wa( Square na Twitter Jack Dorsey ) ambazo zinakadiriwa zilikuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 297$
, can't forget 'bout the other Bey (Hey)" - Jay-Z & Beyonce
Bey habari yake ulimwengu huu inafahamika mkuu😆😆 kawakumbusha tu yeye ni mtu wa aina gani ila hata Nas hajakaa kinyonge kwenye uwekezaji wake wa cryptocurrency?? Achilia mbali 2013 alikuwa na clothing line yake ya HSTRY sikiliza muziki mzuri ngoma inahamasisha kutafuta mkuu binafsi kwangu mimi 😆