Noma sanaa, kuna hii ngoma ameimba na Jay Electronica, imetoka mwaka jana.....
Yaani ametema barz za kufa mtu, halafu kanata sana na beat, hatari tupu....
Hahahaha, Ethered bwana Hugambino anamkashifu Jay, "You love my style nigga"
Bwanaa bwanaaa, kuna kitoto humu ndani kishawahi kusema EMINEM is overrated.......
Yani mwisho wa siku unaweza ukashikwa na hasira kuona aina hii ya utovu wa nidhamu.