mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo ndio walikuwa lengo la Putin la "denazification".
Kwa hiyo lengo hilo linakuwa limetimia. Lakini pia kutekwa kwa mji huo utasababisha Crimea kuwa na njia ya nchi kavu kuelekea jimbo la Donbass lililojitangazia uhuru. Lakini pia inaifanya Ukraine kukosa mlango wa kuingilia baharini na kuifanya kuwa landlocked.
Wanazi hawa wamshukuru Putin aliyezuia mipango ya kamanda wa urusi aliyetaka kusawazisha majengo yote ya Kiwanda cha chuma cha pua ambako wapiganaji wa kinazi wa ukraine wamejichimbia. Putin akasema maadam mmeteka sehemu zote, wazingireni tu kwenye hayo majengo ya kiwanda watajifia wenyewe au kujisalimisha.
Bila hivyo saa hii dunia ingetaharuki. Maana wanazi hao wanawashikilia pia raia kama 1000 kama ngao yao. Ukisawazisha kiwanda hicho na raia wote hao wanakufa. Raia wataendelea kupewa nafasi ya kutoka japo wanazi wamekuwa wakiwazuia. Ona hapa:
The territory of the Azovstal steel plant in Mariupol. © Sputnik / Ilya Pitalev
Russian forces have fully captured the key Donbass Black Sea port-city of Mariupol, Defense Minister Sergey Shoigu told President Vladimir Putin on Thursday.
Wapiganaji hao wa kinazi wameomba jumuia ya kimataifa isimamie utokaji wao wakiwa na silaha zao kwenye kiwanda hicho, jambo ambalo urusi imekataa.
Imesema aidha wajisalimishe au waishie humo! Inasemekana wameishiwa chakula na maji maana walizingirwa tangu mwanzoni mwa mwezi wa tatu, sema tu walikuwa na akiba kubwa ya silaha na vyakula.
Hakuna upenyo wa kuwafikishia misaada!

Mariupol captured — Russia
About 2,000 encircled militants, at Azovstal steel plant, are last Ukrainian hold-outs, Putin is told