Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

Putin kaagiza kiwanda cha chuma cha pua ambako askari wa kinazi wa ukraine wamejichimbia, badala ya kukisambaza kwa mabomu ya nguvu, wakizingire vilivyo kiasi ambacho HATA INZI HAWEZI KUPENYA. Waliozingirwa watajiishia wenyewe kwa wakati wao. Ila watakuwa wanapewa fursa ya kujisalimisha, wakigoma watajiishia wenyewe.

There is no need to climb into these catacombs and crawl underground through these industrial facilities. Block off this industrial area so a fly cannot get through."
"Yes sir," Shoigu replied.

Putin said that Russia would offer the Ukrainian defenders still in the plant to lay down arms.

"The Russian side guarantees their lives and decent treatment in accordance with the relevant international legal acts," he said. "All those who are injured will receive qualified medical assistance."
Putin yafaa apewe tuzo ya Nobel,

Ni ubindamu wa hali ya juu Sana anawafanyia askali wa Ukraine

Maana ake Apo watajiua wenywe kwa kiburi Chao, yeye hatahusika[emoji4]
 
Sababu ya urusi kuingia Ukraine ni Nini?
Ashukuru Mungu wale raia 1000, ndio maana Urusi kashindwa kupiga Bust bomber maana dunia ingemuona katili mbwa, ila kuna alternative ngoja tuwaue kwa njaa
 
Aisee Zelensky ni mbishi Sana ,
Bado anasema "partly occupied mariupol"[emoji16]View attachment 2195297
Ndomana tunasema hii vita Waukraine wamechapika sana, wao walichoweza kukifanya kikubwa na vyombo vya West ni kupika habari tu..

Sasa mpaka wanajeshi wengine wamesurrender lna wengine chini ya handaki wamesema wana hali mbaya na wana masaa tu ila Rais wao anasema hakuna chochote..
 
Ndomana tunasema hii vita Waukraine wamechapika sana, wao walichoweza kukifanya kikubwa na vyombo vya West ni kupika habari tu..

Sasa mpaka wanajeshi wengine wamesurrender lna wengine chini ya handaki wamesema wana hali mbaya na wana masaa tu ila Rais wao anasema hakuna chochote..
Kuna Hali ya kuchanganyikiwa,
Huenda Raisi anapotoshwa na Hali halisi ya uwanja wa kivita, au kaamua TU kukaza fuvu asionekane ameshindwa Vita
 
Kuna watu wanapita kimnya kimnya kama msiba wa sh*ga hapa 😂😂 sema yule general wa chechen kadyrov ni balaa yule mwamba aliomba kibali afungue kigenge cha mishkaki hapo kiwandani putin ndio akakataa bila hivyo ingekua tunahadithia mengine hapa
 
Mariupol ni mji wa bandari, viwanda na utalii. Unangiza pato kubwa Sana la nchi kuliko mji wowote ule ndani ya Ukraine.

Ni sawa na ilivyo dar, kwa Tanzania
Mariupol Ni mji muhimu Sana kiuchumi kwa Ukraine kuliko hata ilivyo Kiev (makao makuu ya nchi),

Ni sawa na uitenganishe dar na jamuhuri ya muungano waTanzania,
afu Raisi akimbie akajichimbie uko dodoma makao ya nchi
Afu aseme
"bado tuko vizuri, MAKE TANZANIA GREAT AGAIN"

Kiufupi,
Ukraine kuchukuliwa mariupol Ni wameididimiza Sana kiuchumi[emoji26]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe putin anamahesabu makali sana
 
Back
Top Bottom