mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Kama wanaongopa basi ni muda mzuri kwa ukraine kuonyesha ukweli.wanatakiwa wanajeshi wa ukraine wakachukue video wakiwa kwenye jengo la halmashauri ya jiji la mariupol ili tuamini kuwa warusi waongo
Huo mji inamaana wanauteka kila siku kwa sababu toka vita imeanza kila siku wanasema umeuteka huo mji. Na ukijaribu kulifuatilia hili swala rais wa Ukraine huwa analipinga mara kwa mara.
Na ikumbukwe warusi ni waongo balaa juzi tu meli yao ililipuliwa na wanajeshi wa Ukraine lakini hilo warusi walipinga wanasema ilijilipua yenyewe.
Na unaweza usikie huo mji Leo wanasema warusi wameuteka mara kesho tunasikia umerudi tena Ukraine.