Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

Aisee kumbe yako afadhali....sema ndo hivyo uchumi wetu unatubana, yangu ya 2008.
2008 ? huna haja hata ya kumshangaa wa 1999 msichekane.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nyie dugu moja tu
 
Watu wanajifanya wanashangaa 1999 wakati wao wenyewe wanamiriki chini 2011.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Chombo Nimeielewa Manual
Gear Tele Mpaka Raha, Ukiingia Barabarani Unamwaga Maji Golini Tu. Hongera Sana, Usisahau Kuifanyia Ibada Ndog

Chombo Nimeielewa Manual
Gear Tele Mpaka Raha, Ukiingia Barabarani Unamwaga Maji Golini Tu. Hongera Sana, Usisahau Kuifanyia Ibada Ndogo
Ibada ya nini mzee ? Mimi Sina dini
 
Kwa machizi boti lazma wataazima chombo tu hasa wale wazee wa 3 pedals. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Kwamie binafsi ntaangalia tu chombo ya fundi maana sina ujanja wa kukoroga stiki. Nmeshazoea kuendeshea herufi pendwa (D) sio kuendesha kwa namba.
Na Mimi nimenunua manual ili nisiazimwe ..jamaa zangu wa karibu wote hawawezi kuendesha manual
 
Mbona naona kama hiyo gari haiendani na pesa hiyo uliyoitaja
Niliuliza automatic bei zinacheza mil 5 mpka mil 8..
Za manual zinacheza 12ml mpka 35mil.nimeamua nichukue manual ili watu wasiniazime Sana maana Nina ndugu na rafiki hawawezi kusukuma manual
 
Hii mbona ya kitambo sanaa... zaidi ya mshikaji wa carina ? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. uzamani sana sio deal jamaa katimiza ndoto kama atae timiza kwa huyu mnyama chini

View attachment 1626690
Tatizo wanachukulia gari ikiwa ya zamani Basi na bei lazima iwe ndogo,kuna Land Rover defender ya 1990 inacheza mil 110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…