Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Manual ni gari ya bei juu kuliko automatic mzee. Na hio 14M ni before Tax. Ikitua anaongezea hela.Mbona naona kama hiyo gari haiendani na pesa hiyo uliyoitaja
Ukistaajabu unaweza shangaa ya automatic kwa mwaka huo huo inauzwa 7M before tax.