Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana mkuu ,angalia pia usije na wewe wakakuachia "MOTO" aka WAYA aka UMEME.
 
😅😅😅 serekali iendelee tu kukataza yale majani
 
Yale mambo ya kuugua usiku unapoteza fahamu gari unalo ila hakuna anayeweza kuendesha manual, si mke wala jirani.
 
6 gears najiona transpoter nikianza mambo hangu road hapa na hapa na tia mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…