Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

mzee, ukitaka uichukie tthree pedals basi kutana na foleni mliman afu nyuma yako kuna gari imekusogelea ziro distance asee ile kasheshe sio kabisa
Inategemea na uzoefu wako wa kuendesha manual car. Kama ni gari yako ya kila siku sidhani kama itakupa shida kwa sababu unakua umezoea jinsi ya kubalance clutch na mafuta.
 
kiukweli hata mm nimeshangaa yan 6 gears
Screenshot_20201115-194432_1605459208782.jpg

Mkuu hiyo hapo Carina Ina gear 6 manual transmission
 
we mwanamke unapenda ngono kuliko ngono yenyewe inavojipenda[emoji3]

Thaanaaa aiseeeeh, yaani nabalansisha chakula cha jikoni na chumbani, vyote navipenda na natumia muda mwingi kujifunza mapishi ya vyakula vyote hivyo.
Namna naongezea madikodiko na manjonjo vile pishi langu la jikoni na chumbani litakuwa tafauti na pishi lingine, basi tuu napenda mapochopocho ya mezani na kitandani.
Na nnavyojua kukombelezea sasa, aahahahahahhaaaa.

Maamaaaaah nimejisahau kumbe niko jukwaani looh, nsijemwaga siri bureeeee, kwaheriiii.
 
Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan

View attachment 1626450View attachment 1626451
Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo .
Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
1. Kumbika inatumia mafuta hiyo!!
2. Kumbuka kuna kumwaga oil!!
3. Kumbuka huharika hiyo!!
4. Taili nazo huwa zinaisha!!

Haya wewe furahia kuinunua.
 
Back
Top Bottom