Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

Hii mechi itafatiliwa na watu bilioni moja kama ule msiba wetu....
al hilal wajanja sana. wanajua demand ya hii mechi kuonekana kwa watz ni kubwa, wakatengeza tension kwa makusudi ili kuiongezea value. bila shaka azamtv watakuwa wamelipa pesa nyingi sana ili wauzie broadcast right.

NB: kitu ambacho watz wengi hawajui, mechi za CAF champions league hatua ya awali, haki ya matangazo ya television ipo chini ya timu mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…