Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

Ila bado najiuliza Al hilal alikuwa na lengo gani kucheza na utopolo gizani.alitaka kumfanya Nini.
Mimi utopolo siwakubali ila siwashauri kukubali kucheza gizani na hao jamaa sio watu wazuri
 
Ndio game pekee yenye mvuto, nani anataka kupoteza muda kuangalia timu ya mayosso de agosto? Timu inaburuzwa mpaka na namungo ya kina Majogoro?
Mvuto [emoji23]
 
Kwani kuwa na mvuto maana yake nini? Inafuatiliwa zaidi, inaongelea zaidi. Saa kuna watakaoionhelea positively na wengine negatively. Hoja ni kuongelewa. Wanaolalamika wanafanya hivyo kwa kuitakia mema hao wako positive, wanaobeza mfano mikia aka mbumbumbu FC wao wako negative siku zote.

Au huwaoni vibwengo FC wanavyokomaa kuanzisha thread za kuponda mchana na usiku? Huo ni mvuto. Licha ya kupata ushindi Angola mioyo yao na akili za vibwengo hawa ziko kwa timu bora ya wananchi. Hii ndio kusema itafika wakati kila mtanzania atashabikia Yanga SC, sasa unabii huu unatimia kwa kasi mno!!
 
Kumbe walitaka wasionyeshe ili wawafanyie mauza uza Dar Young African ..ah kongole azam tv, sasa Dar young African mkawapige hao wa sudan
 
Dah sawa sawa. Kamusi kali kweli kweli na Simba kwa kiingereza itakua Simb. Anyway nimekuelewa ni matamushi na ndio maana yule jamaa ajue Google can't translate meaning.
Sio mimi, wenyewe wanaiita Young African, Kwa kingereza hasa wanapo pata ushindi.
Wakifungwa wanajiita Yanga yangu kwa kiswahili.
 
Hivi hawa jamaa Wasudan wanataka kuwafanya nn wenzao huko gizani?
 
Ndio game pekee yenye mvuto, nani anataka kupoteza muda kuangalia timu ya mayosso de agosto? Timu inaburuzwa mpaka na namungo ya kina Majogoro?
Ndio maana namungo anakuburuza kwenye ranking ,na huyo de agosto utazeeka bila kuwa juu take kwenye vilabu Bora africa
 
Ndio maana namungo anakuburuza kwenye ranking ,na huyo de agosto utazeeka bila kuwa juu take kwenye vilabu Bora africa
Who cares? Tunaongelea mechi yenye mvuto hapa barani Afrika!!
 
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
Picsart_22-10-13_16-25-57-766.jpg
 
Back
Top Bottom