Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Hatua za makundi au hatua za awali za mtoano kuelekea makundi? Maana kuanzia Makundi huwa tunaona kupitia Super sport.al hilal wajanja sana. wanajua demand ya hii mechi kuonekana kwa watz ni kubwa, wakatengeza tension kwa makusudi ili kuiongezea value. bila shaka azamtv watakiwa wamelipa pesa ili wauzie broadcast right.
NB: kitu ambacho watz wengi hawajui, mechi za CAF hatua za makundi, haki ya matangazo ipo chini ya timu mwenyeji.