Hatua za makundi au hatua za awali za mtoano kuelekea makundi? Maana kuanzia Makundi huwa tunaona kupitia Super sport.al hilal wajanja sana. wanajua demand ya hii mechi kuonekana kwa watz ni kubwa, wakatengeza tension kwa makusudi ili kuiongezea value. bila shaka azamtv watakiwa wamelipa pesa ili wauzie broadcast right.
NB: kitu ambacho watz wengi hawajui, mechi za CAF hatua za makundi, haki ya matangazo ipo chini ya timu mwenyeji.
Namungo wako juu yenu nyie utopwinyo sema kuloga kwnu na kununua mechu ligi za ndani ndo mnajikutaNdio game pekee yenye mvuto, nani anataka kupoteza muda kuangalia timu ya mayosso de agosto? Timu inaburuzwa mpaka na namungo ya kina Majogoro?
Namungo wako juu yenu nyie utopwinyo sema kuloga kwnu na kununua mechu ligi za ndani ndo mnajikuta
hapo kwenye NB,al hilal wajanja sana. wanajua demand ya hii mechi kuonekana kwa watz ni kubwa, wakatengeza tension kwa makusudi ili kuiongezea value. bila shaka azamtv watakiwa wamelipa pesa ili wauzie broadcast right.
NB: kitu ambacho watz wengi hawajui, mechi za CAF hatua za makundi, haki ya matangazo ipo chini ya timu mwenyeji.
Tafuta takwimu utajua hujui. Si mnawaona Agosto wadogo,hao alhilal sisi tushawachabanga 4Namungo Wako Juu Ya Yanga Kwenye Lipi Labda? Makombe?,Ubora Wa Kikosi?,Wingi Wa Mashabiki?, Kimapato?, Kushiriki Mara Nyingi Mechi Za CAF? Au Kitu Gani?, Na Kama Yanga Inanunua Mechi Nyie Kwenye Zile Game Mbili Mlizopasuliwa Na Yanga Msimu Ulopita Mliwauzia Kwa Sh Ngapi? [emoji28]
Vuta nikuvute wapi wakati mlikuwa mnatafuta sympathy tu utafikiri tv ndio inacheza wakati hayo mambo ya kawaida tu hata Simba ilishayapitia Nigeria huko. Kachezeni mpiraBaada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
Hivi Utopolo nina lake ni Yanga ama YoungKwaMba hujui wanaitwa young?? Sii Hyo hiy youth..
CAF rankingNamungo Wako Juu Ya Yanga Kwenye Lipi Labda? Makombe?,Ubora Wa Kikosi?,Wingi Wa Mashabiki?, Kimapato?, Kushiriki Mara Nyingi Mechi Za CAF? Au Kitu Gani?, Na Kama Yanga Inanunua Mechi Nyie Kwenye Zile Game Mbili Mlizopasuliwa Na Yanga Msimu Ulopita Mliwauzia Kwa Sh Ngapi? [emoji28]
wewe upo sahihi 100%.Hatua za makundi au hatua za awali za mtoano kuelekea makundi? Maana kuanzia Makundi huwa tunaona kupitia Super sport.
Kumbe Leo umejua Timu mbovu Kuhusu zolan umesahauNdio game pekee yenye mvuto, nani anataka kupoteza muda kuangalia timu ya mayosso de agosto? Timu inaburuzwa mpaka na namungo ya kina Majogoro?
Tafuta takwimu utajua hujui. Si mnawaona Agosto wadogo,hao alhilal sisi tushawachabanga 4
CAF ranking
Vuta nikuvute wapi wakati mlikuwa mnatafuta sympathy tu utafikiri tv ndio inacheza wakati hayo mambo ya kawaida tu hata Simba ilishayapitia Nigeria huko. Kachezeni mpira
Kaa ujifunze kuandika mkuu. Waliokuwa wanapigania mechi ionyeshwe ni Azam Media kwa sababu za kibiashara. Sasa nani anatafuta sympathy hapo? Habari za Simba kutoonyesha mechi yao zinahusika hapa? Acha makasiriko, washutumu Azam Media.Vuta nikuvute wapi wakati mlikuwa mnatafuta sympathy tu utafikiri tv ndio inacheza wakati hayo mambo ya kawaida tu hata Simba ilishayapitia Nigeria huko. Kachezeni mpira
Nimesahau nini tena? Kwani nimeshutumu ushindi wa mikia? Hapa tunaongelea mechi pekee yenye mvuto duniani. Hivi Wafaransa na Ulaya nzima wanajadili mechi hii huku wakibeti mayele atatupia hat trick.Kumbe Leo umejua Timu mbovu Kuhusu zolan umesahau
Young kwa kiswahili ni Yanga.Hivi Utopolo nina lake ni Yanga ama Young