Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
""Mkuu huu mfumo ni dhaifu tu kama ulivyo mifumo mingine ya kimagharibi .Mm nimeweka udhaifu ulionao huo mfumo
Wewe ulitakiwa uje na hoja za kuutetea kwamba ni imara na kuweka mifano
halisi ili kutete hoja yako.
sasa ww una kuja na mipasho sijui mahaba sijui nn hivi una dhani hapa tupo fb?
Hamas huwa wanaweza kurusha maroketi 100 lakini ukafanikiwa kiyaharibu maroketi hata 35 tu sema huwa hayaleti madhara makubwa kwa sababu yana uwezo mdogo wa kushababisha mlipuko.
sasa huoni ya kwamba huu ni udhaifu mkubwa?
Sasa kama unaonesha udhaifu mbele ya maroketi yanayo tengenezwa kienyeji, itaweza kuya dhibiti makombora yaliyo tengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na yanayo tembea kwa kasi ? """
Kwa hiyo hiyo ndio hoja ambayo imeelezea udhaifu?? Kweli tuna africa tuna safari ndefu