Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

Je ni kwanini wasiwape hizi kazi Watanzania wanaoishi USA badala ya kuleta watu kutoka Tanzania ambao wengi wanachua miaka mingi sana kuzoea utamaduni. Kila siku kuna malalamiko ya huduma kwasababu watu wanaofanya kazi hawajazoe mazingira. Mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya Tanzania kuajiri watu kutoka Tanzania kwenye shughuli za ubalozi kuna watu wengi sana USA na nchi nyingine ambao wangeweza kufanya hizo kazi na wengi wao hawahitaji kulipiwa vitu kama vyumba n.k maana ni wenyeji lakini ni wa Tanzania.
n Nilienda nchi moja bahati nzuri nilikua najuana na afisa balozi basi katika kumuuliza baadhi ya mambo kama mwenyeji wangu nikagundua hajui lolote kuhusu nchi ile yaani mimi nilokaa mtaani wiki3 nilikua mwenyeji
 
Jamani hata kwani mimi siwezi kupewa kazi hiyo? mbona kila siku majina yaleyale? oneni aibu nipeni hata mimi ili nami ukoo wangu unyanyuke,nimechoka lima mpunga kila siku,hapa nilipo kiuno changu hakina kazi kwa kazi ya kung'olea mpunga kila siku iendayo kwa mungu,nipeni kanafasi nami nipande ndege sio kila siku nashuka na baiskeli ya majiti bila mteremko safari haipo

eeeeeh mungu nimekukosea nini? shida kila siku wachache ndio wanaofaidika

nipeni sumu jamani
 
kweli huu ni upendeleo wa wazi wazi hata mwaka kazini hajamaliza anapelekwa nje wakati kuna waliokaa miaka mingi wameaachwa!!!!! Je ni vigezo gani vimetumika hapo?
 
Mpayukaji, sina uhakika na huo uhusiano uliouweka hapo juu lakini kuongezea na ninachokifahamu ni hiki: Mindi Kasiga ni mtoto wa mdogo wa mama Anna Mkapa. In other words, Mindi atamuita Mama Anna Mkapa mama Mkubwa.

Kama ndivyo, basi kazi za MFA hususani balozi zetu zinaendelea kuzunguka mule mule. Kama hauna baba, mama, mjomba, shangazi, mamdogo, mamkubwa, bamkubwa, bamdogo, dada au kaka huwezi kutia mguu huko!
 
kweli huu ni upendeleo wa wazi wazi hata mwaka kazini hajamaliza anapelekwa nje wakati kuna waliokaa miaka mingi wameaachwa!!!!! Je ni vigezo gani vimetumika hapo?

Uzoefu na uwezo bongo? Nani anakufahamu wewe wa St. Kayumba?

Btw, Vigezo na masharti ya kujuana vimezingatiwa!
 
Moja ya sababu inayonifanya nisiipende sana blog ya michuzi pamoja na yeye mwenyewe, hayupo kuelimisha/kujuza umma,bali kama kipigia debe flani cha ccm, haiyumkini mambo yanayoelekea kutokuwa mazuri kwa ccm atayaficha
 
Naomba lifunguliwe rasmi huku kwa ma selebriti kwa sababu zilizo hapa chini:

matukio-michuzi

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/189194-balozi-zetu-nje-zilivyojaza-watoto-wa-vigogo.html

haya huyu civil servant ameanza lini kuwa sele brity?

Ukijiuliza haya maswali utapata majibu
celebrity ni nani? What are the criteria for a person to be a celebrity vinginevyo kibongo bongo hata ukitoka kwenye gazeti for whatever reason we tayari maarufu.....labda sababu kwenye party yake kulikuwa na vigogo

Upende today mkubwa. Anyway acha wenye macho waendelee kugawana vya nchi ya vipofu.
 
Wanajamii tujifunze kuandika ukweli,baadhi ya maneno yetu humu yananukuliwa na magazeti na kusambaza habari zisizo za kweli.Habari hizo hazijengi bali zinabomoa.Mindi hana mahusiano yoyote na Rahma Kharoos.Huyu dada ni mfanyakazi wa serikali toka mwaka 2006 alipomaliza shule yake kule Minneapolis/St.Paul,Minnesota.Kwa kipindi tofauti amesoma Warldof ,Iowa na baadaye Milwaukee,Wisconsin alipokutana na Mumewe Alex Tarimo.Mindi Kasiga ambaye amezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 1980 ana Dada zake wawili,Kalunde (Kay) na Emma ambao wanaishi katika Jiji la Minneapolis.Mara baada ya kumaliza shule yake Mindi Kasiga aliajiriwa Ikulu - Dar-Es-Salaam katika Idara ya mawasiliano akifanya kazi na Asha Mtwangi,baada ya Mkataba wao kuisha alifanyakazi ktk Ofisi za UN,Dar kabla ya kuingia Foreign Affairs.Katika Mikutano ya Dicota September/2011(Washington -DC), Mindi alikuja akiambatana na Ujumbe kutoka Foreign Affairs.Kupangiwa kazi Ubalozi wetu DC ni maombi maalumu ya Mama Balozi,baada ya kuona kuwa Kasiga ana ufahamu na mambo ya USA kutokana na kuishi na kusoma huko.Tumpe ushirikiano,ni kijana mdogo lakini mwepesi kujifunza.Ni kweli Mama mzazi wa Mindi ni Dada yake Mama Mkapa,Kama ilivyo kwa Balozi Sefue na Balozi Mstaafu Ben Moses.Baba yake mzazi Mindi ambaye ni Marehemu ni mzaliwa wa Tabora,na kipindi cha nyuma alikuwa Daktari katika makambi ya Wapigania uhuru.Mindi ameolewa na ana mtoto mmoja.
 
Na wewe jifunze kuandika ukweli. Mindi hajasoma Waldorf. Kasoma Wartburg college iliyopo Waverly, Iowa. Kasoma na Foster Mbuna, Lazaro Nyalandu naye ali-transfer kutoka Waldorf kwenda Wartburg.

Sahihisha makosa yako.
 
Naomba uniwie radhi....Upo sahihi!
 
Naomba niseme kitu kimoja. Kupata kazi sehemu yoyote duniani inasaidia sana kujua watu. Mimi sina shida na huyu dada kupata kazi hiyo. Shida ni kuwa unapokuwa muajiri inabidi utoe kazi kwa usawa. Ukiwa unamfahamu mtu inasaidia maana walau hakutakuwa na trust issues. Ni sawa sawa na wewe unapotaka housegirl. Unataka mtu unayemfahamu kutoka kijijini.

Naombeni kuuliza kidogo: huyu dada ni nani haswa? Na hivi ni kweli anapewa kazi bila kujua lolote? Kama haya ni kweli basi hawa watu wamechemsha. Kitu cha pili, sina shida na kama kiongozi akiamua kusherekea na rafiki zake. Yeye ni mtu pia mwisho wa siku. Ila kama unaonekana unasherekea kila siku, wafuasi wako watakuwa na shida kukuamini (hata kama unapiga mzigo vizuri). Mara nyingi hawa watu inabidi wafikirie mara mbili kabla hawajafanya kitu. Planning yao inakosa rada mara nyingine.
 
Wanajamii tujifunze kuandika ukweli,baadhi ya maneno yetu humu yananukuliwa na magazeti na kusambaza habari zisizo za kweli.Habari hizo hazijengi bali zinabomoa.Mindi hana mahusiano yoyote na Rahma Kharoos.Huyu dada ni mfanyakazi wa serikali toka mwaka 2006 alipomaliza shule yake kule Minneapolis/St.Paul,Minnesota.Kwa kipindi tofauti amesoma Warldof ,Iowa na baadaye Milwaukee,Wisconsin alipokutana na Mumewe Alex Tarimo.Mindi Kasiga ambaye amezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 1980 ana Dada zake wawili,Kalunde (Kay) na Emma ambao wanaishi katika Jiji la Minneapolis.Mara baada ya kumaliza shule yake Mindi Kasiga aliajiriwa Ikulu - Dar-Es-Salaam katika Idara ya mawasiliano akifanya kazi na Asha Mtwangi,baada ya Mkataba wao kuisha alifanyakazi ktk Ofisi za UN,Dar kabla ya kuingia Foreign Affairs.Katika Mikutano ya Dicota September/2011(Washington -DC), Mindi alikuja akiambatana na Ujumbe kutoka Foreign Affairs.Kupangiwa kazi Ubalozi wetu DC ni maombi maalumu ya Mama Balozi,baada ya kuona kuwa Kasiga ana ufahamu na mambo ya USA kutokana na kuishi na kusoma huko.Tumpe ushirikiano,ni kijana mdogo lakini mwepesi kujifunza.Ni kweli Mama mzazi wa Mindi ni Dada yake Mama Mkapa,Kama ilivyo kwa Balozi Sefue na Balozi Mstaafu Ben Moses.Baba yake mzazi Mindi ambaye ni Marehemu ni mzaliwa wa Tabora,na kipindi cha nyuma alikuwa Daktari katika makambi ya Wapigania uhuru.Mindi ameolewa na ana mtoto mmoja.

hapa sasa nimepata jibu

kumbe ndio maana sipati kazi za kupanda ndege kwa kuwa nimesoma shule za kata,kumbe kama ukisoma FLORIDA,QUEENSLAND,UKFRONT basi kazi nje nje lakini pia bado kuna umama mdogo na ubaba mkubwa,ukizingatia wazazi wangu wameishia kulima mpunga pale KIHELEZO-LUHEMBE basi tena sina changu

ngoja nikafukuze ndege mie,watamaliza mpunga wangu

haya jamani ooooh UDSM,SUA,UDOM hizi kazi hupati ng'oooooooooooooooo
 
Na wewe jifunze kuandika ukweli. Mindi hajasoma Waldorf. Kasoma Wartburg college iliyopo Waverly, Iowa. Kasoma na Foster Mbuna, Lazaro Nyalandu naye ali-transfer kutoka Waldorf kwenda Wartburg.

Sahihisha makosa yako.

Hii ndio JF bwana tunajuana,ukisema uongo tu unaumbuliwa
thanks nyani ngabu
pamoja daima
 
kumbe ni mzoefu tu katika haya mambo na kakaa huko tayari. haipaswi kulalamika. Piga mzigo Mindi, tuache tuendeleze mapambano huku ili tukishaweka nchi sawa tuwarudishe
 
Sio kweli kuwa picha za Mindi zilinyofolewa Michuzi Blog.
Fuata hii link, kisha scroll hadi chini MICHUZI
 
Halafu na huyo dada yake Kay mbona alisharudi bongo kitambo sana tuu!.
 
Back
Top Bottom