Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

Nafikiri wanapewa guidance kwa kipindi cha mwaka mmoja (kipindi unachoshika taji), baada ya hapo.....hawana habari na wewe kwani wanakuwa wameshamaliza kukutumia!!

pity hapo kwenye red!!!!!!!

haya huyu naye bado analo taji na madudu ndo hayo!!!!!!!!!!!
 
yale yale ya dadaa wema. Tutegemee scandal zaidi, hapo ni kama kafungua chapter 1...
afadhari ya hao wengine walisubiri hadi muda wao ulipopita ndo wakaanza maskandali yao........... Lakini huyu....dah..............hata mwaka bado tayari kizimbani
 
Mi nafikiri kamati ya hayo mashindano yawe serious kidogo huyo kashaharibu tayari wamvue tu na kumpa first runner-up ndo wakilishe nchi katiak maswala hayo ya unyange (dah hili neno kazi kweli almanusra nitukane hapo lol)
 
Na huyo naye akichafua mtafanyaje..??? Maana hiyo mitoto hakuna hata mwenye afadhari.....yootee ipo ivo ivo tuuu................ mtahamisha hilo taji mpaka mtampa wa mwisho.............. naye ataharibu.............. Katika kumbukumbu zako, kuna miss TZ yeyote ambaye hajawahi kuharibu.......... kama yupo labda tumpe huyo....

Au la tubadili jina la mashinda ili lifiti tabia za hao mamisi...... tuite........ MISS MASKENDO TZ........ ijulikane moja
 
naona sasa itabidi wakale 'belated valentine day' haha!
 
Hawa wasichana akili zao finyu kabisa.Wanaendekeza ngono tu hawana la maana wanaloiltea nchi hii kitaifa na kimataifa.Anyang'anywe hilo taji na kale ka RV4 kauzwe wapewe watoto yatima na yeye arudi kwao Buzuruga akafuge ng'ombe asituletee mambo yake sijui ni ya kisukuma au vipi.
 
walimwonea!!!!!! apige mtu binti mpore vile, police, mahakama wanakula rushwa then ukipelekwa, kwisha!!!!!!!!!
 
Huyu miss alihama mwanza?
Achana na kuhama......... kwanza huwa wanawamwaga maboifrendi wootee wa kabla ya umisi yaani wa zamani (tabia hii hata wanamuziki wanayo.....eg. SAIDA KALOLI)............pili wanahamia darisalama......... tatu wanachukuliwa kama si na mr tz basi Mr blue......GADNA........ usione Lundenga hayumo kwenye hii listi, yeye huwa anakuwa wa kwanza kumega............
 
dah..so sad yani!
 
Duu anatembea na vitoto vyake!
 
mwenzio ndo kwanza napata balehe!
hahaaaaa
ulivokuwa unamwagilia hizo female trees ulikuwa bado kumbe??

sasa basi hatari

marafiki zako wenye vibinti wataanza kukwepa kukualika kwao
 
swali la kizushi:...Hivi tanzania wanatenganisha wafngwa wa kike na wa kiume au wote wanafungwa pamoja?....if so gereza la wafungwa wa kike liko wapi?najua tuna gereza moja tuu kule ukonga unless kuna mengine yamefungulia miaka ya nyuma.....
 
Back
Top Bottom