Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

Hatimaye Miss Tanzania 2009 apata dhamana

huyu ni mtoto tu sema ndo hivi wa siku hizi wajuaji kweli....(at that age sikuwa hata na bf jamani loh...sijui ndo ushamba)
jamani I saw her last week watu wakanicheka niliposema hee huyu binti mdomo kama wa Wema.........

amejikoba maana si kujichubua loh!!! wanaharibikiwa kabisa
sasa uniambie mzazi gani mwenye busara atataka mwane akashiriki upupu huu!!

vitoto vya siku hizi
vidogo lakini vinameza mihogo ya jango'mbe
saizi ya mama zao wakubwa....
 
Unajipa fagizi eeeehhh when did u loose ur virginity If I may ask!

fagizi kwa nani sasa Masa!!!?? we unapenda sana kunikaba sijui unatafuta sababu ya kuniweka kwenye IL??

SIJIBU HILO SWALI HATA HIVO (kaaa ukijua sina tabia za upapara basi tu......)
 
vitoto vya siku hizi
vidogo lakini vinameza mihogo ya jango'mbe
saizi ya mama zao wakubwa....

ni kweli boss
malezi yamebadilika labda!!! (au hayapo kabisa)
 
fagizi kwa nani sasa Masa!!!?? we unapenda sana kunikaba sijui unatafuta sababu ya kuniweka kwenye IL??

SIJIBU HILO SWALI HATA HIVO (kaaa ukijua sina tabia za upapara basi tu......)

Duuu hapana best....nijibu basi! nitakununulia Jo Jo
 
ni kweli boss
malezi yamebadilika labda!!! (au hayapo kabisa)
..... .Mungu atusaidie sisi ambao bado hatujazaa, maana unaweza kumlea mtoto wako vizuri lakini akishafika 18 tu anajiona amekuwa na kuwa na right ya kufanya maamuzi yake.
 
..... .Mungu atusaidie sisi ambao bado hatujazaa, maana unaweza kumlea mtoto wako vizuri lakini akishafika 18 tu anajiona amekuwa na kuwa na right ya kufanya maamuzi yake.

kazi ya kulea naona ngumu sana, at times huw anaogopa kwa kweli

Najua unamuwahi Bala nimemuona anapiga chabo!

eeeh huyo huyo ndo namuwahi maana saa nyingi nimemwambia tunatoka lakini hizi provocation zako hizi.................
 
kazi ya kulea naona ngumu sana, at times huw anaogopa kwa kweli.eeeh huyo huyo ndo namuwahi maana saa nyingi nimemwambia tunatoka lakini hizi provocation zako hizi.................

Duuu sisi wengine wazuri sana kule wewe tuzae tu wasio na idadi mimi nitalea!
 
Kuna vitu womens hawapendi kuulizwa
how many men u slept with?
how old are u?
are those ur real hair?
.........Sio wanawake wote hawapendi kuulizwa maswali hayo.Inategemea na muulizaji mwenyewe yupo serious au anauliza tu ilimradi.
 
hata yule wa Wema nae si alikuwa wa hivyo hivyo tu!!!!

na huyu anye ni majuzi tu nilisoma eti lipredesheee lilimfumania na kiserengeti boy, basi likamtimua kwenye nyumba alokuwa amempangishia
maskini sijui ile laana y ayule mama wa mwanza ndo imeanza kutenda kazi!!

Predeshee gani anataka kuniharibia binti yangu? Ebu mdau nitonye nihangaike naye, ndipo atajua kuwa maharage ni mboga au ni chakula!!
 
Back
Top Bottom