FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
maskini hawa mamiss wetu wanatia aibu sana mbona kina nancy ,kina dada senare,basira,hoyce,happiness magese hawakuwa hivi hawa wengine inakuwaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, kwa nchi zinazojali pulic image ya brand yao 'Vodacom Miss Tanzania', sasa hivi hawa jamaa wangekuwa wanahangaika sana kupata wadhamini....katika hali ya kawaida huwezi peleka pesa yako kwenye shindano kama hili lililochafuliwa na washindi karibu wote isipokuwa yule miss tanzania mwenye asili ya kihindi...na pengine Lundenga angelazimika kubadili hata jina la mashindano yake, mfumo mzima wa uandaaji na vigezo vya kupata washindi ili kuleta heshima ya shindano lenyewe na washiriki kwa ujumla.
naye kapata dhamana kawekewa na ndugu zake.jamani vipi kuhusu mpenzi wake naye katolewa dhamana na Hashimu Lundenga
walimwonea!!!!!! apige mtu binti mpore vile, police, mahakama wanakula rushwa then ukipelekwa, kwisha!!!!!!!!!