Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

Tanzania bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Haijawahi kuwa serious.
Pole Diana.
 
Jina la nchi yetu sasa limeanza kutumika vibaya, kuna haja ya serikali kupitia upya sheria ya matumizi ya neno Tanzania, haiwezekani mlimbwende wa nchi yenye utajiri kama Tanzania akabidhiwe screpa kwa jina la Tanzania.
Afadhali umesema neno maana duh!
Ni heri wange tumia jina lingine inge sound.
 
Watakuwa wamekosea, labda miss tz alikuwa ameenda kukabidhi hiyo gari kwenye kiwanda cha matunda. Afadhali hata wangempa vitz asee. Doh kweli hali ni ngumu kwa kila mtu now.
 
Nahisi hata hii wamempanga ili ionekane kakabidhiwa gari. Kama waliweza kubandika number plate maalumu na mapicha ya kutosha yakapigwa siku ya fainali wakati gari si lao, itakua bango la mtu? Yaani kiufupi hilo tangazo wameona kuliko kulilipia kwenye tv stations, bora wamuite miss wampe laki mbili (nahisi amepewa pesa kidogo) aendeshe ndani ya dar kwa siku 5, then alirudishe. Baada ya hapo kiki itakua imekiki
 
Hawa mbuzi watakuja kutoa zawadi ya baiskeli siku moja.
 
Zawadi zingine bana... ila yote tisa, shida ni hayo matangazo.. yani mpaka kero! sidhani kama atalitumia hilo gari mtoto mzuri namna hiyo..


Tena matangazo yenyewe yamekaa kishamba kweli
 
"Wahindi" wapumbavu sana,walipotaka kumshindisha yule "muhindi"wao wakaweka RAV4 model ya 2005/6,wakampa.
Huyu wamemuwekea gari ambayo hata tapeli wa simu angeweza kumnunulia.
Gari ambayo mwaka ukiisha akihitaji kuuza atapata kwa shida 3.5m,
 
Nilitegemea miss Tanzania apewe toyota vanguard au kosakosa toyota crown at least.
 
Huyu miss tz wa mwaka huu hana bahati coat la umiss limekuwa changamoto kwake
 
Kuna mwaka miss alipewa Nissan Hardbody sijui ilikuwa 2004,Ile ndio ilikuwa hadhi ya miss Tanzania.
Au Nancy alivyopewa nyumba tabata changombe ila huku tunakoelekea Miss atakuja kupewa bodaboda
Nancy alikuwa na bahati sana yule dada, Global publishers walimpa nyumba, Tanzanite one wakampa tanzanite na ile crown yake ikawa na kijiwe cha tanzanite, wadhamini wa miss Tz Vodacom wakampa gari ya ukweli..huyu alipata zawadi haswa.
 
Nissan hardbody alipewa yule mvuta sigara Silvia bahame. Bado ipo mpaka kesho chezea hardbody
 
Ni bora angepewa shati LA lemutuz kuliko huo mkangafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…