Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Tanzania bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Haijawahi kuwa serious.
Pole Diana.
Haijawahi kuwa serious.
Pole Diana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umesema neno maana duh!Jina la nchi yetu sasa limeanza kutumika vibaya, kuna haja ya serikali kupitia upya sheria ya matumizi ya neno Tanzania, haiwezekani mlimbwende wa nchi yenye utajiri kama Tanzania akabidhiwe screpa kwa jina la Tanzania.
Zawadi zingine bana... ila yote tisa, shida ni hayo matangazo.. yani mpaka kero! sidhani kama atalitumia hilo gari mtoto mzuri namna hiyo..
witnessj hakika Mungu anakuona sio kwa ushauri huu.Naona pale kwenye side mirror kuna nafasi kidogo imebaki waongezee tangazo la Mo Fanta...
Nancy alikuwa na bahati sana yule dada, Global publishers walimpa nyumba, Tanzanite one wakampa tanzanite na ile crown yake ikawa na kijiwe cha tanzanite, wadhamini wa miss Tz Vodacom wakampa gari ya ukweli..huyu alipata zawadi haswa.Kuna mwaka miss alipewa Nissan Hardbody sijui ilikuwa 2004,Ile ndio ilikuwa hadhi ya miss Tanzania.
Au Nancy alivyopewa nyumba tabata changombe ila huku tunakoelekea Miss atakuja kupewa bodaboda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]witnessj hakika Mungu anakuona sio kwa ushauri huu.
zawad ni zawad.mimi ningekataa.