Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Ningekuwa mimi ndiyo huyo mke wa Sugu wala nisingeandika anything kuhusu family yangu (including huyo binti) kwenye social media. Kama mtaniita mimi ni mshamba well and good.Huyo dada nae mshari kwani lazima walimwengu wajue kama ana mpenda huyo mtoto