Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

Yeye ndio anajikomoa kwa maana Faiza ni mwehu hana cha kupoteza,mfano Faiza alivyoandika Sugu ana msodoma mkewe aibu ni ya nani?Anapoenda kwenye shughuli zake huyo happy anajisikiaje watu wanapomtizama kwenye kalio zake kama ni kweli 😁.Ningekuwa mimi nisingemtaja huyo mtoto popote pale Duniani na mbinguni
Kumbe unaogopa kutukanwa kiasi hiki hahahaa!!!!
Kutukanwa hakufanyi hata nywele yako moja kunyofoka.
 
Kumbe unaogopa kutukanwa kiasi hiki hahahaa!!!!
Kutukanwa hakufanyi hata nywele yako moja kunyofoka.
Najua kwamba hakufanyi ninyofoke ila kamwe siwezi kujibizana na mtu wa aina hii zaidi nitavunja heshima yangu
E595BD5D-A1DF-4805-B447-E19B852A747F.jpeg
 
Kwa aibu kaifuta post. Funzo kwa wanawake wenzangu ukisifiwa leo jitahidi usilewe hizo sifa. Happy kwa muda mrefu watu walimuonea huruma kwa matusi aliyokua anamwagiwa na faiza ila kwa post moja tu amejishusha na kuonekana mpenda attention mkubwa.
 
Inatupasa tutumie hii mitandao vizuri kwa faida ya vizazi vyetu,tuheshimu jamii yetu inayotuzunguka.
 
Back
Top Bottom