Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea Ubunge halali kwa tiketi ya CHADEMA

Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwa nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Lissuphobia did it,
Peoplesssssss......
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwa nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Ernest ndiyo aliyekuwa amekaa kulia kwa mkurugenzi?
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Hawezi chukuliwa hatua zozote kwasababj form za awali wanazowenyewe.
CCM ni kansa!
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.

Namna hii ndivyo tutashinda majimbo mengi tu.

Persistence, detrrmination and consistence.

Au ile barua ya jana ya Robert Amsterdam imemshtua???
Kuna kipengele kwenue ile barua kinasema" maofisa wa NEC watachukuliwa hatua na kutumwa kwa wapelelezi wa kimataifa( UN special investigation reporters) kuchunguza kinachofanywa na NEC kama itavunja sheria za nchi, kikanda na kimataifa ktk kusimamia haki za uchaguzi" mwisho wa kunukuru.
 
Back
Top Bottom