Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Mnyika Safari ameamua kubaki kufanya kazi za Chama Katibu Mkuu Taifa.
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Hata hivyo huyu jamaa kapigania haki yake ya Kugombea balaa ,awaandae wapiga kura kudai ushindi wake kwa nguvu.Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
HagombeiMnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Ila uneandika uki kimbia haina maelezo ilikuwaje.. Sasa Chadema wanatakiwa waandike barua tume kumkataa huyu mama kuwa msimamizi.Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Hakuchuka fomu. Ana imarisha ChamaMnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Halafu Sheria ni nzuri sana..mama mkurugenzi alikuwa ameficha hiyo fomu.
..na angetoa barua ya utambulisho aliyodai imetoka cdm angeingia kwenye tatizo la kugushi.
Na bado...watabana lakini wataachia tu. Safari hii ushamba na ulimbukeni, tupa kuleee!
Mnyika alizisoma alama za nyakati mapema sana, alijua kabisa Kibamba hachomoi, sio kwa sababu CCM inapendwa sana, lakini kumekuwa na ubaguzi wa jinsi maendeleo yanavyoletwa majimboni. Watu wanaona wairudishe CCM ili mambo yaende.Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Kwani huyu mama anaishi IKULU?Huyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano sasa akaja na Plan B.
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Wanaotakiwa kumchukulia hatua ni CCM au CHADEMA?Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Mama shetani mkurugenziccm atakuwa kapita JF au CCM wenzie wamepita wakamwambia kuwa ingia usome maoni ya wananchi ndipo akabaini kuwa mbinu zake haramu zimebainika tayari.Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Mama shetani mkurugenziccm ni hawala wa cyprian Musiba bila shaka amefundishwa ujinga na huyo Musiba wakasahau kuwa watanzania wameamka hawataki upumbavu waoKabana wee kaona mwisho litamwangukia. Pumbavu