Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.

Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Huyo mama atakuwa msengerema, anafanye uhuni wa kishenzi hivyo
 
Lazima faulo hizi za makada na wateule wa serikali ya awamu ya 5 zianikwe ili umma ufahamu juu ya njama za kufanya uchaguzi usiwe wa haki na huru.
 
Huyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano sasa akaja na Plan B.

Hawa wakurugenzi kama huyu aliyefanya madudu Hawezi kuwekewa pingamizi?

Sheria za wasimamizi ziwekewe kifungu kuwa wasimamizi wa uchaguzi wakifanya madudu kama haya washitakiwe kwa uhujumu wa usalama wa nchi na kuwekwa lupago bila dhamana kwa kuwa kosa hili linahesabika ktk makosa makubwa yasiyostahili dhamana.
 
Wadau mwenye kumbukumbu ya wagombea ubunge kupitia ccm waliopita bila kupingwa 2015 atukumbushe
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.

Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Huenda aliekuwa amempa maagizo ya kufanya ubandindu alioufanya kwa mgombea wa CHADEMA kakatwa ,🤣🤣🤣🤣Jina alijarudi😂😂So akaona isiwe shida
 
..mama mkurugenzi alikuwa ameficha hiyo fomu.

..na angetoa barua ya utambulisho aliyodai imetoka cdm angeingia kwenye tatizo la kugushi.

Mbona alitoa ya kumnyang'anya Boniface umeya na hamna lililompata? Sana sana alikingiwa kifua na Waziri Mdogo wa Tamisemi.

Amandla...
 
Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.

Namna hii ndivyo tutashinda majimbo mengi tu.

Persistence, detrrmination and consistence.

Au ile barua ya jana ya Robert Amsterdam imemshtua???
Kuna kipengele kwenue ile barua kinasema" maofisa wa NEC watachukuliwa hatua na kutumwa kwa wapelelezi wa kinataifa( UN special investigation reporters) kuchunguza kinachofanywa na NEC kama itavunja sheria za nchi, kikanda na kimataifa ktk kusimamia haki za uchaguzi" mwisho wa kunukuru.
Iko wapi barua
 
Kuna mambo ukiyafikiria sana nchi hii unaona kabisa wale waliosema afrika tulipaswa kuendelea kutawaliwa hawakukosea.Sasa hapo unakuta ni watu namavyeti yao ya shule ila wanafanya mambo ya ajabu kama hayo.
Njaa mkuu, tunalinda ugali
 
Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.

Namna hii ndivyo tutashinda majimbo mengi tu.

Persistence, detrrmination and consistence.

Au ile barua ya jana ya Robert Amsterdam imemshtua???
Kuna kipengele kwenue ile barua kinasema" maofisa wa NEC watachukuliwa hatua na kutumwa kwa wapelelezi wa kinataifa( UN special investigation reporters) kuchunguza kinachofanywa na NEC kama itavunja sheria za nchi, kikanda na kimataifa ktk kusimamia haki za uchaguzi" mwisho wa kunukuru.
kimbunga mkuu , yani mwaka huu mtu akinyosha kidole kama anajikuna ICC ,
 
Back
Top Bottom